Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
- Thread starter
-
- #161
Umenikumbusha ile salamu ya Ukwata eeeeenhNilikuwa Ukwata bro!! Sikuwa na mpango tu, lkn pia U-a level nao ulichangia
Ukarani kama kawa!! I can guess umemaliza pale 2005!! Halafu chuoni tukawa darasa moja[emoji1]Teh teh teh
Hukuwahi kuhudhuria mombasa??
Vipi Ukarani??
Hukuwahi kwenda kuiba mahindi ya shule na kuyaloweka usiku kucha kwenye maji asubuhi yalainike ili uyachome??
Wapiga galala ndio watu gani mkuu??Hakukua na wapiga galala???
Haaaaaah haaaaaaaaaa... Yeah broUmenikumbusha ile salamu ya Ukwata eeeeenh
Eeeenh, safi sana
Yaani we acha tu.
Bado mlikuwa mnasalia lile darasa la Form 3-M1 ??
Ha ha ha haUkarani kama kawa!! I can guess umemaliza pale 2005!! Halafu chuoni tukawa darasa moja[emoji1]
Kwasababu tulijikuta darasa moja chuo, na Leo ndo najua umesomea boys!! Halafu walimu wote uliowataja ndo walikuwepo enzi hizoHa ha ha ha
Mwaka 2005
Kwa nini??
DahMzee Chigugu na kigugumizi chake hahaha!
Yupo bado mwanza naeneo ya Mnalani kajenga katulia!
Kisuu kapooza sana!....baada ya kustaafu mambo hajamwendea sawa!
But yupo njema sana. Nashukuru Mungu kwa Afya yake
Hahahahaha!!Umenikumbusha ile salamu ya Ukwata eeeeenh
Eeeenh, safi sana
Yaani we acha tu.
Bado mlikuwa mnasalia lile darasa la Form 3-M1 ??
He he he he tulipiga wote class moja??Kwasababu tulijikuta darasa moja chuo, na Leo ndo najua umesomea boys!! Halafu walimu wote uliowataja ndo walikuwepo enzi hizo
Alipewa u headmaster mwana 2007 mwishoni akaondoka, Sijui alipo kwasasaDah
Kweli maisha safari ndefu sana.
Wapi azebele siku hizi??
Ameacha kale kamsemo kake ka "Arooooooh ni kwambaaaaaaa............"
Ha ha ha ha haHahahahaha!!
Ukwata eeeeh
Eeeeeeh, safi sana
Yaaaaani, we acha tu
Na badooooo
Bwiru press ndioHa ha ha ha ha
Umenikumbusha Ester Conference na Joint Mass.
Ulikuwa unakwendalakini Ester wewe??
Kwenye hizi shule mpya mpya za kata??Alipewa u headmaster mwana 2007 mwishoni akaondoka, Sijui alipo kwasasa
Kumbe wewe Mkongwe mwenzangu.Bwiru press ndio
Yeah!!! Alikuwa na kabinti kake vijana walianza kukalia mingo hatari!! Hapo shule ya kata mnarani sekondari imefunguliwa kakajiunga pale form one!! Acha vijana wakaweka kwenye target!!!Kwenye hizi shule mpya mpya za kata??
Jamaa kasota sana aisee, na kigugumizi chake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe wewe Mkongwe mwenzangu.
Teh teh teh teh
Ulifanya graduu ya ukwata kweli wewe, maana Graduu zote nilihudhuria mimi.
Nilikuwa mtunza hazina, mpaka namaliza.
Ha ha ha haHaaaaaah haaaaaaaaaa... Yeah bro
Yap 2008-2011He he he he tulipiga wote class moja??
Ulikuwa CoICT?
Ndio, nimesomea boys aiseee.
Ha ha ha haYeah!!! Alikuwa na kabinti kake vijana walianza kukalia mingo hatari!! Hapo shule ya kata mnarani sekondari imefunguliwa kakajiunga pale form one!! Acha vijana wakaweka kwenye target!!!
OkyYap 2008-2011