Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Kwa msiojua ligi ya uingereza

Huwezi ijaji united otherwise.

Ni Lazima ashindanishwe. Mnataka hamtaki.


1. City
2. United
4.liverpool
5. Chelsea


Take my word...

Spur wamechoka, asernal no kisaikolojia hawako kushinda

Wengine hawana kitu
 
Kumbukeni Haaland ametua Uk usimchukulie hivyo jamani ni nomaa..
Ni wakali wangapi wametua na wakapotea. Ref.chelsea.

Na kuhusu Chelsea jamani vita vya urusi vimewaathirinkisaikoojia. Chelsea ni kama wa 7 huko....

Spar Hana ubavu wowote.....
 
Man U sasa hivi hatukosi top 3
20220712_201029.jpg
 
Back
Top Bottom