Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Lakini mwisho wa msimamo ulikuaje?? Unazungumzia match moja moja? Zungumzia team nzima na mfumo wake ki concistance,
Arsenal na totte haizifikii Chelsea.

Ukweli ndo huo.
Kwa consistency anaongoza city na Liverpool ila kwa mzunguko wa pili wa ligi arsenal na spurs walifanya vizuri sana!
 
cocastic umeona arsenal na spurs form yao last season
Screenshot_20220719-154449.jpg
 
1. Man Utd
2. Chelsea
3. Man City
4. Liverpool

1. Simba
2. Azam
3. Geita
4. Coastal
NB: Kuna timu nimeona hazijielewi nikaona nizitoe tu kabisa!
Kuna watu utawatoa pangoni 😀😀😀
 
cocastic umeona arsenal na spurs form yao last seasonView attachment 2296557
Kama tuliingia top 4 kipindi Cha Lampard tukiwa tumefungiwa kusajili na tukiwa hatuna mchezaji wetu Bora Hazard ambaye tulimuuza tutashindwa msimu tuna Moja Kati ya kocha Bora duniani Thomas Tuchel? hapo mzee umeongea ushabiki badala ya fact hata msimu uliopita tulipitia changamoto kubwa lasakata la kuwekewa vikwazo vya uchumi lakini pamoja na changamoto zote hizo tuliweza kushika nafasi ya 3
cocastic
 
Sawa acha ligi ianze tuendelee kuona sterling atawaongezea nini?
 
1- Man City
2- Liverpool
3- Tottenham Hotspur
4- Arsenal
N.B Man Utd watakuwa wa 7/8!
Nashangaa mnamuweka Spurs wa nini? Mwaka huu atagimbania nafasi ya 9 na Crystal Palace.
 
Back
Top Bottom