Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

cocastic tactical Chelsea haiwezi hata kupambana na arsenal bado man utd ikiwa mbovu iliwasumbua so what's next top 4 mtaisikia kwa bomba! Mwambie na huyo Hziyech22
Lakini mwisho wa msimamo ulikuaje?? Unazungumzia match moja moja? Zungumzia team nzima na mfumo wake ki concistance,
Arsenal na totte haizifikii Chelsea.

Ukweli ndo huo.
 
Back
Top Bottom