Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaKwa Dar Es Salaam vifaa vya kutengenezea (chemicals) vinapatikana wapi.
Mzalendo habari yako, kuna jamaa anakuhitaji kikazi nimekutumia detail inbox.usiwe na wasiwasi mkuu, itatoa
Hapa kuna baadhi ya chemicals wanauza nimepata pale mitaa ya kkoo. Panaitwa kwa Noor ni duka la wahindi.Nakazia
Shukrani MUTUYAMUNGUWelcome back mzalendo namba moja
Essential oil ni mafuta ya asili ya mimea na mazao ya mimea, mafuta haya huwa hayawekewi vitu va ziada kuyaongezea thamani...hivyo sifa yake ni uasili wake, hata harufu sio boosted ni Ile ya asili kabisa, Hali kadharika rangi Huwa ni ya asili kabisaSwali:
Essential oils ni nini na zipo za aina ngapi?
Majibu plz!
Unaweza kujisomea kuhusu aina zake, lakini Kwa length ya wingi wa mimea na products zake ndiyo wingi halisi wa essential oils..Essential oil ni mafuta ya asili ya mimea na mazao ya mimea, mafuta haya huwa hayawekewi vitu va ziada kuyaongezea thamani...hivyo sifa yake ni uasili wake, hata harufu sio boosted ni Ile ya asili kabisa, Hali kadharika rangi Huwa ni ya asili kabisa
Sawa mkuu. Kwa hiyo zote zinafaa kutengenezea dawa ya meno?Essential oil ni mafuta ya asili ya mimea na mazao ya mimea, mafuta haya huwa hayawekewi vitu va ziada kuyaongezea thamani...hivyo sifa yake ni uasili wake, hata harufu sio boosted ni Ile ya asili kabisa, Hali kadharika rangi Huwa ni ya asili kabisa
Exactly kabisa, though zingatia harufu zake pia, hivyo ningepewa nafasi ya kuchagua labda ningetumia hasa essentials za karafu[emoji16]..Sawa mkuu. Kwa hiyo zote zinafaa kutengenezea dawa ya meno?
Safi sana mkuuExactly kabisa, though zingatia harufu zake pia, hivyo ningepewa nafasi ya kuchagua labda ningetumia hasa essentials za karafu[emoji16]..
mkuu jinsi ya kutengeneza udi je?Exactly kabisa, though zingatia harufu zake pia, hivyo ningepewa nafasi ya kuchagua labda ningetumia hasa essentials za karafu[emoji16]..
OohJINSI YA KUTENGENEZA LOTION KWA NJIA RAHISI KABISA.
Tanabahi: mahitaji yote yanapatikana maduka ya vipodozi, maduka ya dawa (baadhi) na mengine ni kwa mazingira yetu ya kila siku
MAHITAJI
✓Mafuta ya nazi (yanapatikana)
✓Aloe Vera gel (duka la vipodozi)
✓Rose water (jaribu supermarkets)
✓Glycerin(inapatikana)
✓Vitamin e Capsule/oil (duka la vipodozi)
UTARATIBU
Weka kwenye bakuli safi kijiko kimoja cha chakula cha aloe vera gel (ya dukani iwe 100% natural)
Ongeza kijiko kimoja cha chakula cha mafuta ya nazi pamoja na glycerin na rose water kisha ongezea na vitamin e kama ngozi yako ya mafuta tumia capsule kama kavu unaweza kutumia vitamin e oil
Changanya vizuri mpaka ichanganyike na uone imekua na rangi ya kupendeza na ipo laini kisha hifadhi kwenye kichupa safi tayari kwa matumizi
utadouble au kutripple malighafi kulingana na mahitaji yako
Note: chukua mahitaji kwa ujazo mkubwa na utakuwa na unatoa kidogo kidogo kila mara lotion ikiisha.
Mfundishe mtoto na mkeo wajikomboe kwa suala la manunuzi ya lotion, sio muda ntaweka formula nyingine ya lotion ntaunganushia na ya mafuta ya mgando.