wale wa ifm 2kutane hapa

wale wa ifm 2kutane hapa

Krama

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
293
Reaction score
78
hii thread ni ya spesho kwa wale waliochaguliwa ifm
 
IT??? kama ndo hiyo pongezi, ila nasikia taaluma hii nasikia zinaingiliana i.e computer science,ict v/s it

Hapo kweli zinafanana kidizaini ila ICT ndo kaka yao wote hapo
 
Ndugu zangu ifm sio rahs kama mnavyoichukulia....u have 2 study...msul wa pale s wa kichumba..kurepeat a year na kudisco kwa semister n jambo rahs saana kama usipokua makini
 
Ndugu zangu ifm sio rahs kama mnavyoichukulia....u have 2 study...msul wa pale s wa kichumba..kurepeat a year na kudisco kwa semister n jambo rahs saana kama usipokua makini

Haina mbaya kaka, tumekupata 2kija pale ni mxuli kwenda mmbele na bata kiasi
 
Pale me naenda kupiga IT

Karibu IFM mkuukama ni IT ni pm.namba yako ukiwa na shida nicheki au ukifika uliza mtaalam wa codes kwa mwaka wa pili utaletwa str8 je uliichagua?
 
Mliochaguliwa je course mlizopata
ni sehemu ya ambazo mlioneshwa
kuwa mmequalify? Au hadi ambazo
mlikua hamjaqualify?
 
Back
Top Bottom