Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

Hivi ile ishu ya uraia wa Keselenge imeishia wapi manake enzi hizo akidaiwa mzambia!

Mi niliishi Kibo!

Namkumbuka sana msengi na uchemshaji wake...!

Kaselenge nadhani bado anapeta tu pale
 
Mh mimi nilishaishi Masaki nafikiri But nilikaa term moja tu ya kwanza ya Form V nikamkimbia Mzee Mwaipaja na kurudi kijijini kwangu Mzumbe Sec...Mwaipaja alinibishia kweli kuhama lakini nilibisha maana nilishazoea mitaa ya Mzumbe(Uzumbeni)...
Msengi,mgina,na wengine...Ila Msengi nafikiri alikuwa Mvivu sana kufundisha au alikuwa
busy kujikwamua na mishahara isisyotesheleza ya pale home.
Anyway mimi ni recently to nilisoma pale F.5 July 2002-November 2002
Hata kama sikukaa muda mrefu I still miss there....!
 
Usisahau wale wengine Mwalimu wa Kilimo Katabago, Mwal wa mahesabu Rwehumbiza, Masinde, Mhango, akina mama Luoga...mama Nyiti, Mama Macha,Mama Mmndogo, Mama Mori, na hata mama Kisanga (model)

Masa,, apo kwen hesabu usimguse 'babu' Mhango...sijui ameshastaafu au bado yupo hai? Mi nilikuwa nachukua BAM lakini haikuwa na tofauti sana na advanced, vijana walikuwa wanapiga hesabu asikwambie mtu1

apo kwa mama Nyiti,,, with a light touch....

kuna mzee Mpalaza alikuwa kilimo nasikia kawa headmaster Ruvu

Mzee mwenyewe Abdula wa Chemistry na yeye kapewaulaji wa uheadmaster....ila ile ilikuwa kichwa linapokuja suala la organic chemistry...
 
Wale CBA mnamsahau MUTA!Jamaa alikuwa mnoko naturally

du halafu mi nilikuwa naona kama hamnazo, kifupi nilikuwa simwelewi hata chembe, alikuwa na maringo flani ivi...duh!
 
Mhango alikuwa anamtoto mkali kweli enzi hizo Malosha! Kuna siku alimkata jamaa anamsindikiza akamwambia unamwona mtoto wangu chuma eeehh katafute mbao....Malosha nahisi alitongozwa na jamaa wote wa CBA walikuwa wanakaa Nyanza senior quarters maana ilikuwa karibu na kwao...nilikuja mwona Malosha after 10 years alikuwa amechoka!
 
Hello, nimefurahi kwa post hii. Wale mnaosema mama Luoga, au Mr Lopha naona mmesahau kidogo. Badala yake ni mama Luhaga na Mr Luhaga. Mwenzenu nilipita enzi za mzee Msaki, nakumbika alikuwa akisisitiza KAKUNI tuuu, yaani, Kazi+Kusoma+ Kazi= first class au second class tu. kweli napamisi Kibaha jamani
 
Wakubwa mmenikumbusha kwenda kuchukua living certificate yangu maana Mainoya aliniuzi hadi nikaacha living certificate yangu,kosa langu lilikuwa kusoma usiku tukiwa scandia namba 1 tukijiandaa na mitihani ya f-6 May 1992.Nilipokataa kuchapwa basi akaleta bifu nami akidai sitofanya mtihani,nilipofanya mtihani akanambia sipati cheti hadi anichape viboko.Yule jamaa noma sana,mwaka juzi nilikuja Bongo nikakutana nae pale Ubungo Plaza yaani jamaa kachoka ile mbaya.
 
Nakumbuka wakati tunajiandaa na mitihani mei 1992,usiku mmoja vijana wa form 3 walimuopoa demu mmoja Pich ya ndege wakaja nae Scandia ili wamshughulikie.Kwa bahati mbaya form 6 wakawaona palepale wakamchukua yule demu na kumwingiza chumba namba 4 ambacho alikuwa analala Mwenyekiti wa bweni Mh....Basi yule demu alifanyiziwa usiku kucha na vijana wa form 6 wakiongozwa na yule mwenyekiti wa bweni,yaani ilikuwa huruma mno kwani sauti za kelele toka kwa yule msichana zilitawala eneo lote la Scandia.Cha kuhudhunisha zaidi wale vijana waliokuja na yule demu ilibidi wapange foleni ili kuweza kupata bahati ya kumfikia yule msichana.Na kwavile form 6 walikuwa wengi wale vijana hawakufanikiwa kumpata yule demu waliomleta ili kuvunja amri ya 6.Nawakumbuka wengi kama Kamugisha,Peter Ulanga,Contractor,Adamu Madusi,Bigambo Andrew,Makanacky,Bryceson Abihudi,Benny White,Ndorerah(marehemu),Fransic Sekwao,Stone,Chesinode Kulangwa,Mammy,Mark Msaki,Masuhuko Nkuba,Magayane Machibya,Makanzo Laurent,Dr.Mattias Daud,Spear,Ambokile Mwaisaka,Peter Omar,Anganile Kaisi,Saad Hussen,Rehema,Mwanaidi Shaaban,Bosco Mtiga n.k Jamani oridha ni ndefu sana,mmenikumbusha mbaaaaaaaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaanaaaaa.Mwalimu Abdallah Abdallah yupo wapi?
 
namkumbuka Babu Buheme- heheh; kijasho chake kila siku asubuhi- ITS very hot today ( wakati amepiga mguu toka kwake
 
na wanawake mkuu walikuwepo au macho yangu yanamatege?
 
Mhango alikuwa anamtoto mkali kweli enzi hizo Malosha! Kuna siku alimkata jamaa anamsindikiza akamwambia unamwona mtoto wangu chuma eeehh katafute mbao....Malosha nahisi alitongozwa na jamaa wote wa CBA walikuwa wanakaa Nyanza senior quarters maana ilikuwa karibu na kwao...nilikuja mwona Malosha after 10 years alikuwa amechoka!

oooh what a pity! hukumpa shavu kidogo?
 
oooh what a pity! hukumpa shavu kidogo?

Kwa kweli nadhani maisha hayakumwendea vizuri, shavu nilimpa mazee, kipindi hicho alikuwa amejaribu SUA degree nadhani hakuweza katiza hata mwaka wa kwanza, jamaa wakala kichwa...sijui yuko wapi ila amechoka haswa!
 
Kamugisha,Peter Ulanga,Contractor,Adamu Madusi,Bigambo Andrew,Makanacky,Bryceson Abihudi,Benny White,Ndorerah(marehemu),Fransic Sekwao,Stone,Chesinode Kulangwa,Mammy,Mark Msaki,Masuhuko Nkuba,Magayane Machibya,Makanzo Laurent,Dr.Mattias Daud,Spear,Ambokile Mwaisaka,Peter Omar,Anganile Kaisi,Saad Hussen,Rehema,Mwanaidi Shaaban,Bosco Mtiga n.k Jamani oridha ni ndefu sana,mmenikumbusha mbaaaaaaaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaanaaaaa.Mwalimu Abdallah Abdallah yupo wapi?

Amosam kumbe wewe bado ni Yoso hao wote ulowataja walikuwa nyuma yangu....Peter Omar, Bryceson, Mark, Masuhuko, Akina Rehema, Mwanaidi walikuwa O level

Peter Ulanga, Kamugisha, Stone niliwapokea walipokuja Form five.....hahaha zamani hizoooo.....

NB Stone aliishafariki by the way!
 
Nakumbuka wakati tunajiandaa na mitihani mei 1992,usiku mmoja vijana wa form 3 walimuopoa demu mmoja Pich ya ndege wakaja nae Scandia ili wamshughulikie.Kwa bahati mbaya form 6 wakawaona palepale wakamchukua yule demu na kumwingiza chumba namba 4 ambacho alikuwa analala Mwenyekiti wa bweni Mh....Basi yule demu alifanyiziwa usiku kucha na vijana wa form 6 wakiongozwa na yule mwenyekiti wa bweni,yaani ilikuwa huruma mno kwani sauti za kelele toka kwa yule msichana zilitawala eneo lote la Scandia.Cha kuhudhunisha zaidi wale vijana waliokuja na yule demu ilibidi wapange foleni ili kuweza kupata bahati ya kumfikia yule msichana.Na kwavile form 6 walikuwa wengi wale vijana hawakufanikiwa kumpata yule demu waliomleta ili kuvunja amri ya 6.Nawakumbuka wengi kama Kamugisha,Peter Ulanga,Contractor,Adamu Madusi,Bigambo Andrew,Makanacky,Bryceson Abihudi,Benny White,Ndorerah(marehemu),Fransic Sekwao,Stone,Chesinode Kulangwa,Mammy,Mark Msaki,Masuhuko Nkuba,Magayane Machibya,Makanzo Laurent,Dr.Mattias Daud,Spear,Ambokile Mwaisaka,Peter Omar,Anganile Kaisi,Saad Hussen,Rehema,Mwanaidi Shaaban,Bosco Mtiga n.k Jamani oridha ni ndefu sana,mmenikumbusha mbaaaaaaaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaanaaaaa.Mwalimu Abdallah Abdallah yupo wapi?

Mkuu ina maana hawa ndo waliojishindia bingo ya mdada wa Picha ya ndege au? Mbona mlisikitisha sana wanafunzi?
 
Kwa kweli nadhani maisha hayakumwendea vizuri, shavu nilimpa mazee, kipindi hicho alikuwa amejaribu SUA degree nadhani hakuweza katiza hata mwaka wa kwanza, jamaa wakala kichwa...sijui yuko wapi ila amechoka haswa!

oooh jamani ...unapozungumzia SUA ni kitu ingine kabisa ukienda pale umelemaa kidogo hawakawii kula kichwa lol...ndo maisha lakini kupanda na kushuka!
 
wakuu, some images from Kibaha! Picha ya hizi majuzi tu hiyo, nadhani mnaweza kuona wanavojitahidi kumaintain!
 
Attachments

  • 078.jpg
    078.jpg
    473.7 KB · Views: 232
4941d1245652986-wale-wa-kibaha-sec-school-tujikumbushe-078.jpg

HAhahahah mzee unaikumbusha hapa tulikuwa tuna vizia evening classes Mabinti sijui kama bado wapo!

Thanks
 
Back
Top Bottom