casta mvungi
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 210
- 191
Heheheeeeeee kaichukue tu maana kikweli wachagga mlijisunda mno Stop-over acha mpanguliwe.Aika awae
kilema kisangiro hapa...full ubaridi nafikiria hapo januari nije kuibeba milango na madirisha yangu hapo stop-over ila huyu jamaa Mungu anamuona
Yap..
Teh teh eti pwaniAhaa nakuonaga huku nikadhani ni wa Pwani maana ukiwa kule MMU mmmh
Hivi kumbe we mchagga, dah..Kweli mkuu,mimi mchaga lkn napinga hizo mila kwa nguvu zote.
.
.
Ila pombe siachi.
Nanogewa hasa, dyudyu is my favourite thing!Hivi kumbe we mchagga, dah..
Nilisikia wachagga hawanogewi sana na dyudyu, ila nikikusoma unaonekana kuonogewa sana(joke).
hapana picha haijapigwa kutokea RomboImepigiwa ROMBO...
Mkuu kibosho kwa rafael unafika?Nanogewa hasa, dyudyu is my favourite thing!
Nanogewa hasa, dyudyu is my favourite thing!
Sipo huko now,huwa siendi kuhesabiwa, teh..Mkuu kibosho kwa rafael unafika?
Hahhah ushapigwa pingu na bontown nni... Ila umesema juz juz ulikuwa hukoSipo huko now,huwa siendi kuhesabiwa, teh..
Haha haha Mzee Wa Kande na Dengerua [emoji28] [emoji23] soon will be there!Wale wa mamba miamba, chome, suji, gonja tutakutanahuko soon.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu mdogo hatuna huo utaratibu, tunaendaga tu kwa shughuli nyingine, yes nilikuwa huko mwezi uliopita.Hahhah ushapigwa pingu na bontown nni... Ila umesema juz juz ulikuwa huko