casta mvungi
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 210
- 191
Heheheeeeeee kaichukue tu maana kikweli wachagga mlijisunda mno Stop-over acha mpanguliwe.Aika awae
kilema kisangiro hapa...full ubaridi nafikiria hapo januari nije kuibeba milango na madirisha yangu hapo stop-over ila huyu jamaa Mungu anamuona