victor siriamaka
Senior Member
- Jul 19, 2016
- 184
- 192
Hii picha ni ya kule Sanya sioKama umetokea mkoa huu drope seven ulikotoka nia ni kujuana ili tuweze kutembeleana msimu huu wa holiday.
Wageni unaitaja sehemu unayotaka kutembelea[emoji7]
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha ni ya kule Sanya sioKama umetokea mkoa huu drope seven ulikotoka nia ni kujuana ili tuweze kutembeleana msimu huu wa holiday.
Wageni unaitaja sehemu unayotaka kutembelea[emoji7]
![]()
Sanya mlima auwezi kuuona hivyo utaona kuna bonde kubwaHii picha ni ya kule Sanya sio
Naona sasa unataka kuvuka mipaka..!!!!Al karim unakulaje hivyo vitu bila ka kitimoto hata nusu bana??
Waharibu sheikh...mlo sio kamili huo yakhee.
Wasiojulikana hao wanatafuta wa kuwapeleka ruvu.Tukutane hapa ili iweje? Unataka kugawa hela!
mnogage ulimnofu nipo makanya hapa nakula pundaHahaha
Hapana hiyo ilikuwa Kibosho Umbwe.Imepigiwa ROMBO...
Hahahaha..!!!mnogage ulimnofu nipo makanya hapa nakula punda
Salimia kirima juu...Kibosho
Inaitwaje asee maana mi sshv nataka nipige vyombo mbali na townWale wote mnaeenda kibosho msipite kibosho road bila kunitafuta niwaoneshe kowanja yangu mpya naizindua kushoto mwa barabara inayopanda kibosho.