Wale wa Mzumbe University, tujadiliane hapa

Wale wa Mzumbe University, tujadiliane hapa

Ebwana kwanza 2mshukuru mungu kwa ku2weka ktk chuo hiki.. Kwa yule anae enda kuchukua BAF in PS 2somane!!
 
Mi nipo statistics ila nampango wa kufanya mishe niingie baf hpe itatiki
 
Fafanua kidogo mkuu!!

nakushauri tu statistics ya mzumbe ni nzuri sana na ina soko soma hyohyo usihamie baf ajira mbinde coz wahasibu weng mno mtaani mzumbe panahitaji msuli wa kutosha hakuna masikhara so uende ukijua kuwa hauko udom pale kudisco ni njenje
 
ha ha ha Hawa Madogo we waache wafurahi saiz ngoja wakakutane n Likizo za zaidi ya Miezi 4 ndo watakaa sawa Kiakili Maana saiz Wanamzuka waajabu!!

Asante sana mkuu mana nlikua na doubts kuhusu ajira
 
Wadogo zangu nendeni mkaishi kwa kufuata sheria za chuo,jitambueni kuwa tayari mpo katika jamii ya wasomi. Elimu ya mzumbe toka mwaka 2012 wamebadilisha utungaji wa mitihani,majaribio kuwa ya "critical thinking" zaidi kuliko majibu direct from lectures. Nimefanya 1st and 2nd degree pale in HRM. Elimu ni zaidi ya unachofundishwa darasani,kuweni watafiti na wenye shauku ya kujua mabo yanayo husiana na kile unachosoma,hii itakusaidia kupanua upeo wako. Msidharau test,assignments maana ndizo zitakazo unda 50% ya your final marks every year. Jitahidini sana kupata GPA nzuri (at least 3.5 and above) tokea mwaka wa kwanza ili majumuisho ya final year yaweze kukupa class nzuri katika cheti chako. Epukeni makundi na tabia za kuiga zisizo na faida kwenu.

Mwenyezi Mungu akitupa uzima,tutasaidiana kipindi cha field na hata ajira kushaurina namna ya ku-win soko la ajira.

Naipenda mzumbe.Kwa kubadilishana mawazo (0657504089)
 
Back
Top Bottom