aladin news
Member
- Aug 11, 2013
- 67
- 2
Wale wa "mzumbe tusemezane apa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaaaa me nitakuwa mbeyaaa wa mbeya tuonane!!!
ukasome huko dogo wenzako wengi wameishia kati..mzumbe sio kuzur!!
Ebwana kwanza 2mshukuru mungu kwa ku2weka ktk chuo hiki.. Kwa yule anae enda kuchukua BAF in PS 2somane!!
Mi nipo statistics ila nampango wa kufanya mishe niingie baf hpe itatiki
sasa hapo ambacho hujaelewa ni nn!! au ujeuri 2??
Fafanua kidogo mkuu!!
ha ha ha Hawa Madogo we waache wafurahi saiz ngoja wakakutane n Likizo za zaidi ya Miezi 4 ndo watakaa sawa Kiakili Maana saiz Wanamzuka waajabu!!