Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Jamaani nyie dar Wing's mbona mmepooza kama maembe sifurii? Oneni wivu wa kimaendeleo jamani. Ivi amjisikii vibaya wenzetu wa Tanga na Arusha walivyo na unit kama siafu? Nini chanzo cha nyie kuogopana... Nipo wa tiss hapa kama mnaogopa nitaweka sawa mambo ya usalama nitahakikisha hakuna kuzinguana