Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
mbona sioni NOMINO yako kwenye list ya wahudhuriaji wa Party ya Wazungu?
Je? Noun. nimekumbuka nimetumia Rejesta
sikuelewi ujue...na hapo sijaona rejesta yoyote
Changa mkieni mi zawadi ya kufa mtu kutoka kwa mzee wa White Party unaweza jipatia bahati ya kuwa premium member yani unalipiwa 5k na unakua Tanzanite member kama Bishanga au platinum member yelaaa
anhaaaaaaaaaa nakuja best nataka uplatinum mieeeeeeeee! embu dadavua vigezo na masharti!
Tutaonana huko huko ! Ukiona mtu kavaa kaunda suti, na mtoto ( mpenzi wangu )wa kiarabu ujue ndio mimi.
Kigezo, uje na mpendwa wake pamoja mkiwa mumependeza zaidi ya wengine na mkawa na bahati mtashinda wewe na mpenzi wako, na kama wewe ni mwana mke ukipendeza zaidi ya wenzako pia tanzanite member inakuhusu na kama wewe ni mwanaume ukiwa na mvuto kuliko wote tanzanite member inakuhusu. Pia watao cheza vizuri, best couple watapata offer ya chumba chenye thamani ya 100000 kwa siku mbili. Kila la kheri.