Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nyie Tanga na Arusha ebu izodoeni hii mijitu ya dar itoe michango. Sio, inakaa kupiga domo tu hapa na maneno mengi kama chiriku
White Party eti niambie lile jinalo jengine waitwani? . . .afu we ni ME au KE??
Mie ni mwanaume mkuu Arushaone nahamasisha naona watu wanazolota kama wanaumwa uvivu
Hujajibu swali langu la kwanza White Party!
White Party eti niambie lile jinalo jengine waitwani? . . .afu we ni ME au KE??
Mgeni mwenyeji huyu...
Kumbe nawe daddy machale yamekukuna???
Kumbe nawe daddy machale yamekukuna???