Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Maeneo mengi sana ya vivijini, mvua zikikata tu, na maji ya kunywatayari yanakuwa ya taabu saana tokea Uhuru
Katika jimbo la Chalinze Kwa mfano, yapo maeneo Kwa kiangazi hiki, hawaogi mwezi mzima, wana kunywa maji Kwa kupangiana, kwamba mtu anywe Mara moja tu Kwa siku zaidi ya hapo, hakuna maji
Baba na midevu yake, kazi yake Ni kwenda umbali wa kilometers zaidi ya 20 kutafuta maji, na maji menyewe anauziwa Kwa ndoo Lita 20 Kwa tsh 800, maisha gani haya?
Kodi kila mwezi zinakusanywa, lakini kwamba wananchi wamefanyiwa mini cha maana, hakuna!
Kuanzua makurunge mpaka miono, hali ni mbaya sana Kwa upande wa maji!
Nadhani sasa, tutaelewana, watu wa mijini mkose maji ili kilio kiwe cha sauti moja na wavijini!