Wale wacheza kamari CASSINO tukutane hapa

Wale wacheza kamari CASSINO tukutane hapa

Mimi nimpenzi Sana wa online games ila psychology imenishinda hua nakula sanaaaa ila najikuta napoteza kabisaaa in very short time...

Mchezo wangu mkubwa Ni DICE (Over/under7) hua naumia Sana naeza anaza na 5k mpaka 200k ila BOOOOOMMMM Nina 0 yani nimeshindwa kujicontrol kabisaaa...

Kuna mda nachukua mpunga nasema sichezi tena ila ghafla nsharudi online nagongwa yote....
Huu ugonjwa sijui niutib VIP
1xbet walivyotoa option ya mobile payment Nimeacha japo Kila siku nachungulia ka washarudisha.
Uraibu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok nmekusoma mkuu we kumbe konki..kuna jamaa yangu pale legrand mi naendaga kula bia za bure na korosho tu...mwoga sana wa hayo maniaje...wanakwambia "inhouse"

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
Hahaha Kama ni member na unakadi utainjoi Sana. Me nimekula Sana pesa le grand Casino plus bia za bure kwa Mug
 
Kwenu wana bodi hili liwe jukwaa kwa wacheza roullete,slots,black jack n.k tupeane story.


Kimsingi mimi ni mhanga wa cassino na mchezo wangu mkuu ni roullete,hua nacheza cassino za hapa Dar,Arusha,Mwanza na Nairobi.

Katika maisha yangu ya kamari hii pesa kubwa niliowahi kupata kwa mkupuo ni milioni 27 kwa kianzio cha laki 1 na nikamalizia nyumba iliobaki nikanunua harrie tako la nyani.

Pia nishawahi kuliwa milioni 8 usiku 1

Kama haitoshi pesa zangu zinaishia kwenye uraibu huu hatari.


Roullete ni mchezo hatari ambao kila baada ya sekunde 33 unaliwa au unakula.


Katika pitapita zangu nishawahi kushudia mtu ameliwa milion 350 kwa siku 1

Pia nishawahi shudia mtu kaja kununua roli pesa ikaliwa cassino milioni 45.


Kama haitoshi kuna dada mmoja mfanyabiashara wa Tanzanite aliliwa milioni 84 akataka kuweka bond gari lake na alikua kwenye vikao vya ndoa yake hali iliopelekea kuahirisha ndoa juu ya kamari.


Kwa haya na mengineyo karibuni tujadili mstakabari wa hili janga.

Upande wangu naomba serikali ufutilie mbali aina hii ya michezo.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
ingia wildjackpoint hipo online na inatambuliwa na skrill,paypal na unakula pesa bila kikwazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom