Nautico
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 341
- 788
- Thread starter
- #81
Uraibu huuMimi nimpenzi Sana wa online games ila psychology imenishinda hua nakula sanaaaa ila najikuta napoteza kabisaaa in very short time...
Mchezo wangu mkubwa Ni DICE (Over/under7) hua naumia Sana naeza anaza na 5k mpaka 200k ila BOOOOOMMMM Nina 0 yani nimeshindwa kujicontrol kabisaaa...
Kuna mda nachukua mpunga nasema sichezi tena ila ghafla nsharudi online nagongwa yote....
Huu ugonjwa sijui niutib VIP
1xbet walivyotoa option ya mobile payment Nimeacha japo Kila siku nachungulia ka washarudisha.
Sent using Jamii Forums mobile app