Wale wadada 'wanaojisikia' sana vyuoni

Kwanza tuanzie hapa...

Unasoma chuo gani mkuu...
 
Bro huamini au? Sawa ulisoma chuo kikubwa cha nchi hii, hata mimi nipo kwenye chuo kikubwa cha nchi hii. Kuhusu pesa, sasa wewe ulitaka demu mkali akushobokee kwa pesa yako ya mkopo?[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo haipo, labda ingekuwa ni pesa uliyoitafuta wewe, ni ushamba yaani! Nafikiri ni kwako ndio haijatokea, mimi ndio imekwisha nitokea sasa. Tena bonge la slay queen, na ni handsome hatari yaani!
 
Huyo demu atakua wakawaida sana...kwanza labda tuulize ni chuo gan.usikute ni vyuo vya ufundi..huko kweli ntaamini maana mademu wa huko wanakuaga tayar wameshapitia maisha...sio freshers...unaweza kuta demu keshazaa tayar..etc...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu huamini au?
 
Nlkua na maana yangu kuulizia chuo pia nishapata majibu natumai ntakujibu.....

Kuna haja ya kujua tofauti ya vyuo vikuu,vyuo vya kati,vyuo vya ufundi nk

Ungekua chuo kikuu ungenielewa vizuri...

Hii nchi ngumu saaana
Sawa bhana bro! Ila kozi ninayosomea hakuna chuo kikuu TZ wala chuo cha kati kinachoweza kutoa degree bro! Hope umenipata hapo.
 
Sawa bhana bro! Ila kozi ninayosomea hakuna chuo kikuu TZ wala chuo cha kati kinachoweza kutoa degree bro! Hope umenipata hapo.
Isipokuwa ni NIT pekee! Pia kumbuka ni chuo pekee cha Taifa cha usafirishaji, mpaka hapo umeelewa natumai. Je, unataka kufahamu kozi yangu? Huwezi ipata popote degree TZ isipokuwa NIT tu.[emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mkuu umejiandaaje kwa kozi yako unayochukua

Kujiajiri au kuajiriwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…