Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
mkuu hiyo sio utani yote uliyo mention hapo ndio Mimi kabisa Aisee nje ya JF, Quora &co hapana Kwa kweli nisiwe mwongo![emoji1787][emoji1787]kama kawaida ya watu wa jamii forum, 1. hawapendi kupigapiga simu
2.hawapendi kuchati
3.hawaweki wala hawaangalii status
4. hawapost picha instagram
5.hawasikilizi redio
6......
nyingine mtamalizia
Kaka, mimi ni kama ww. mimi sipigi simu kabisa. Na wala siangalii status whatsaap za watu wangu. Wife ndio ana kazi ya kupigia ndugu zangu na zake. hadi aibu kabisa.
nttafuta baba mkwe kesho jmosi
😁😁😁😁yani wewe kama mimi, yani inaweza kupita hata miezi ila siku nikimpigia anacheka kwanza, ila mimi naona ni hulka ya mtu tu.Mi siku nikimpigia mama anaanza kucheka kwanza
Brother umenishinda [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sipigi, wala kutuma sms mpaka ntakapojiskia. Inaweza kupita hata mwaka
Hata mimi ni mvivu sana wakupigia ndugu simuAse mi nimgumu sana kupiga simu inaweza pita hata mwezi nisipige simu nyumbani au kwa wakwe,jukumu hilo analifanya wife haiwezi pita siku mbili hajapiga simu kwa ndugu zangu na zake wote
Wamesema nahisi wamechoka,
Kuna watu kweli wenye tabia kama zangu
[emoji28][emoji28]too much hyoMkuu wewe sasa kiburi
Jumamosi ndio inaishiaishia
Babamkwe hajambo? Amepokeaje simu yako ulipopiga?
Mungu aendelee kuwatunzia wanaume wote wasaidizi wenu, wanaowapenda kuwasaidia hata kuwajulia hali wazazi wenu[emoji120]
Asante dia, hata simu sijapiga