Wale wagumu wa kupiga simu tukutane hapa

Heeee kumbe nijambo kabisa. Mimi nilizani bahati mbaya kumbe ni tatizo la wengi
 
Mimi hapa mwenzio
 
Mwenyewe na kauvivu flani kupiga cm hata sms kumtafuta huwa nasemaga ngoja nitamtafuta Kesho au baadae hapo ndio imetoka...Lkn ikitokea mtu kanipigia au katum sms nakuaga na story nyingi yaani Hadi anasahau kama simtafuteg
Tuko wengi
 
Introverts V/s extroverts..

Ni ngumu sana kuelewana ila ndiyo maumbile yalivyo ukijijua na wakakujua hakuna shida.
 
Atleast you 2 months...Mimi naweza kaa miaka sijaongea na mzee mpaka najihesabiaga sina baba.
 
Uko kama mimi
Mimi ni mgumu sana kupiga simu ukweni
 
Dah nina huu ugonjwa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepata mbinu apaa ambayo nimeanza kutumia

Uwa nahakikisha simu ya wife ina Salio bundle na dakika
Sasa kazi ya kuwajulia Hali ni yake [emoji28]
Na wanawake wanapenda
Apa jioni napewa tu report
Leo bamkubwa anaumwa
Mama janeth anabatiza mtoto kesho

N.k at least nna taarifa [emoji28][emoji28]
 
Waathirika wa kupiga Puli ndio mnawaitaga INTROVERTS kwa kitaalam?
 
Mke wangu ndio kazi yake hiyo,kila siku anawasiliana nao,kuna siku kaniambia Nyumbani wanalalamika wanakupigia simu hupokei nikamwambia nilikuwa mbali na simu baadae muda ukawa umeenda nikaona nisiwasumbue. Ila kashajua huu ni ugonjwa wangu so sometimes anamalizana nao yeye mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio kupiga tu hata kupokea sipokei simu za watu na hata sijui ni kwanini, ndugu wote walishanisusa kunipigia simu, hata mtu akiwa na shida anampigia wife aniambie, hata sijui tatizo ni nini?
Wewe utakuwa na matatizo aisee, hii ni too much mzee [emoji3]
 
Kiubinaadam si sawa chief, mcheki jamaa..
 
Huu ugonjwa ni wa wengi. Mi hata kupokea najioneaga tabu inaita hadi inakata alafu baadae nikijiskia natuma sms au napiga. Wakati mwingine nawazaga niuze simu ili nisipigie watu
 
We mzee kama mimi. Hivi sijui shida ni nini. Mana mimi huwa sipokei simu, shida wanapiga kwa wife afu wife nae ananipa tu ongeaa....hahahahaha mungu atusamehee
 
Ni mimi kabisa [emoji3][emoji3] mpaka ndugu wamesha nizoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…