Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Muamar Ghaddaf alitusaidia sana kujenga Misikiti. Ukipita barabara ya kwenda Mwnza unakuta kiia baada ya kms kadhaa pembezoni mwa barabara kuna Msikiti.
Ukienda Tanga vivyo hivyo, ukienda Ntwara, ukienda Mbeya, Rukwa...
Kiukweli jamaa alikuwa jembe sana. Na pale Dodoma alitujengea Msikiti Mkuuuubwa kabisa. Kiukweli Ghaddaf alikuwa jembe sana. Alitusaidia sana kupata elimu. Sioni kama kuna mtu mwingine ambaye ameendeleza hili jambo.
Naombea aje kiongozi mwingine shupavu atujengee Misikiti mingi zaidi. Na wale waliomuua Jembe wakifika Akhera wasipate kitu. Wahasiwe kabisa washenzi wale.