Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Mbalali, Rujewa, ubaruku,mhanga,mwaganga,lugelele,igomelo,Igawa,duuuhh nimekaa kama miezi 3 nilifurahia maisha ya wilaya ya mbalali. Kwa Msangu pale kuna nyama za hatari kuanzia buku tuu na ndizi choma asubuhi tayari.Siyo mkazi wa huko lakini.
 
Back
Top Bottom