Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Hivi namba one na Ntokela zinapakana? haya maeneo huwa yananichanganya sana, unapo tokea Uyole ndio unaanza na Namba one?

hapana mkuu,namba one ni kwa mbele unavyoanza mteremko wa kuelekea garijembe,nchi nzuri sana ile daah!
 
hilo ndio eneo linaloongoza kuwa na makanisa mengi kuliko sehemu yeyote duniani..

Mh,we utakuwa mwenyeji Wa pembezoni mwa mji Uyole au Igawilo huijui Mbeya vizur!kweli Meta na Forest na mbalizi road ndo kuna makanisa meengi?!!truly you ar a stranger here in town!
 
Mh,we utakuwa mwenyeji Wa pembezoni mwa mji Uyole au Igawilo huijui Mbeya vizur!kweli Meta na Forest na mbalizi road ndo kuna makanisa meengi?!!truly you ar a stranger here in town!
Huyu kama siyo Nsalaga basi Itezi
 
Back
Top Bottom