Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

HV hiki nacho kinyihaa..ahahaha umeniacha mkuu

Japo ni mnyiha lugha Yangu sija imaster sana
Ha ha haa. Hicho nilichokujibu ni kinyamwanga japo kina fanana na kinyiha baadhi ya maneno.
Jifunze mkuu. Ukitaka kumteta mtu utafanyaje? siku hizi kila mtu anajua Kiswahili na Kiingereza.
(Ha ha haaa, natania bwana)
 
Pamoja kaka itabd nikomae

Siunajia Sir viumbe wazazi walio tuleta kipind wapo masomon huko mbali mpk tunarud kwetu kilugha kimetupita far

But najitaid nakisikia vema siwez kuwateta na mwenyewe hawez niteta kwa kilugha chetu..ahahaha

By the way kumbe mnyamwanga ndio mama huku chiwanda nikashangaa nao Salama yako kumbe n mwakataa km wanyiha Tuu

Nashamba zangu chipaka na chiwanda huku
 
Anhaa kumbe, basi sawa. Wanavyo ongea hivyo na wewe daka maneno humo humo, utapata tu cha kuombea maji.
Pia Chiwanda ni kijijini kwetu (mzazi wangu mmoja katoka hapo).

Uwe na siku njema mkuu.
 
Back
Top Bottom