zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,483
- 1,705
HV hiki nacho kinyihaa..ahahaha umeniacha mkuuIchete, wali uli pang'anda?
Japo n mnyiha lugha Yangu sija imaster sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HV hiki nacho kinyihaa..ahahaha umeniacha mkuuIchete, wali uli pang'anda?
Ha ha haa. Hicho nilichokujibu ni kinyamwanga japo kina fanana na kinyiha baadhi ya maneno.HV hiki nacho kinyihaa..ahahaha umeniacha mkuu
Japo ni mnyiha lugha Yangu sija imaster sana
Pamoja kaka itabd nikomaeHa ha haa. Hicho nilichokujibu ni kinyamwanga japo kina fanana na kinyiha baadhi ya maneno.
Jifunze mkuu. Ukitaka kumteta mtu utafanyaje? siku hizi kila mtu anajua Kiswahili na Kiingereza.
(Ha ha haaa, natania bwana)
Anhaa kumbe, basi sawa. Wanavyo ongea hivyo na wewe daka maneno humo humo, utapata tu cha kuombea maji.Pamoja kaka itabd nikomae
Siunajia Sir viumbe wazazi walio tuleta kipind wapo masomon huko mbali mpk tunarud kwetu kilugha kimetupita far
But najitaid nakisikia vema siwez kuwateta na mwenyewe hawez niteta kwa kilugha chetu..ahahaha
By the way kumbe mnyamwanga ndio mama huku chiwanda nikashangaa nao Salama yako kumbe n mwakataa km wanyiha Tuu
Nashamba zangu chipaka na chiwanda huku
Ila natokea Kirando mkoani rukwa,na ni mkazi wa Bomani swax
Jina langu mkuu mimi ni mzawa wa Makete
Aisee weweeeNjombe Kibena,ramadhan,sido,matarawe,mgendera,Njosi,Mpechi,Melinze,Mji mwema au wap?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani..!makete kuna mjini?
u can't be serious
Mitaa ya Ikweta hukuAisee weweee
Labda Kitulo kwa wale ndege ulaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani..!
Mkwe unakujua kitulo?Labda Kitulo kwa wale ndege ulaya
Naogelea mto Ruhuji hapa darajaniNjombe Kibena,ramadhan,sido,matarawe,mgendera,Njosi,Mpechi,Melinze,Mji mwema au wap?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naogelea mto Ruhuji hapa darajani
Ndiyo mkwe, nilikwenda kuangalia ndege, wewe unapafahamu mkwe?Mkwe unakujua kitulo?
SipajuiNdiyo mkwe, nilikwenda kuangalia ndege, wewe unapafahamu mkwe?
Ukimaliza hiyo series, nutakupeleka mkweSipajui