Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Mkuu naomba unikumbushe hayo maneno... Ughonile, mwagono na mwakata yana maana gani vilee... Maana nimesahau kidogo...So nimeishi huko mwaka mmoja na nusu pale Mafinga Town
 
Mkuu naomba unikumbushe hayo maneno... Ughonile, mwagono na mwakata yana maana gani vilee... Maana nimesahau kidogo...So nimeishi huko mwaka mmoja na nusu pale Mafinga Town
 
Na ukungu wa kutosha kabisa,mtu akiwa mita kumi haonekani wakati ni mchana.

Mzee jina lako ndio linahakisi Hotelkubwa pekee makete ya Madihani Villa?Au umeiba tu jina la Madihani
 
Ushirika- tukuyu hapa imoooooooooooooooooooooooooooooooo

duuh boda la mkato kuelekea lutengano,nimesoma huko o'level...fabby alitengeneza radio station yake unamfahamu mkuu?
ni mdogo wa sauli hapo..
gwamaka je?
ntully?
juma mwasalemba?
rose pataya?
hao wote classmates wangu from ushirika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…