Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Isalishi indi msangeUgwe uli kughu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isalishi indi msangeUgwe uli kughu
sifa kubwa ya mwanamke wa kinyakyusa ni shape ( wana msambwanda sana kwa nyuma), sauti nzito, na wana mwendo wa kibabe hawanaga mapozi kwenye kutembeaKanda ya kusini mikoa ya iringa,njombe,na mbeya mazingira yapo green hadi raha.
Shid ya hiyo kanda kwa upande wa akina dada kwa kweli hawakujaliwa kama kanda zingine,wadada wana sura ngumu balaa utadhani wanaume
MwakaTrump hajambo?Uyole hapa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] watu mna utaniMwakaTrump hajambo?
Ubhalamuke yamaIsalishi indi msange
Wazo zuri,hata mm sipo huko kwa sasa ila ni kwetuGeuza uzi usomeke wenye asili ya mikoa hiyo maana sio wote tunaishi huko maana tumetapakaa dunia nzima ila # kukaja kununu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Yupo..albeit very old now.Yupo?alikua rafiki mpendwa wa late baba yangu....nimefurahi sana kujua kama yupo asante[emoji120]
Ila tunamudu maisha yetu,sio tegemeziiiii..sura ngumu zinatupa ushujaa maana hatutegemei sura..hatuuzi sura hataaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] tunachapa kazii kwakweli proud of ourselves taking care of our families tupo vizuri kichwani.Kanda ya kusini mikoa ya iringa,njombe,na mbeya mazingira yapo green hadi raha.
Shid ya hiyo kanda kwa upande wa akina dada kwa kweli hawakujaliwa kama kanda zingine,wadada wana sura ngumu balaa utadhani wanaume
Na tunajitegemea..hatutegemei surasifa kubwa ya mwanamke wa kinyakyusa ni shape ( wana msambwanda sana kwa nyuma), sauti nzito, na wana mwendo wa kibabe hawanaga mapozi kwenye kutembea
Mungu yu mwema sana..namwomba aendelee kumpa maisha marefu..ya furaha..ni mtu mwema na busara sanaYupo..albeit very old now.
Lakini anafanya mambo yake mwenyewe, hamtegemei mtu yeyote kwa maisha yake ya kila siku. Very smart akiamua kutoka....
Mimi ni umri wa wanae, lakini ametokea kuwa rafiki yetu....my friends and myself.
Iko siku nitakuja kumuona Mungu akinijalia nitafika huko soonMungu yu mwema sana..namwomba aendelee kumpa maisha marefu..ya furaha..ni mtu mwema na busara sana
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ni PM jina la your late father(may he rest in peace), nije nimfikishie salamu kutoka kwako. Nina uhakika atafurahiwa sana kuwa umemkumbuka.Yupo?alikua rafiki mpendwa wa late baba yangu....nimefurahi sana kujua kama yupo asante[emoji120]
OkNi PM jina la your late father(may he rest in peace), nije nimfikishie salamu kutoka kwako. Nina uhakika atafurahiwa sana kuwa umemkumbuka.
Sawa songoUbhalamuke yama
yes, ni wa chakarikaji sana tatizo pia ni mama huruma mno
Hahaha naamini huwa wanakutana na baba huruma piayes, ni wa chakarikaji sana tatizo pia ni mama huruma mno