Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

Kanda ya kusini mikoa ya iringa,njombe,na mbeya mazingira yapo green hadi raha.
Shid ya hiyo kanda kwa upande wa akina dada kwa kweli hawakujaliwa kama kanda zingine,wadada wana sura ngumu balaa utadhani wanaume
sifa kubwa ya mwanamke wa kinyakyusa ni shape ( wana msambwanda sana kwa nyuma), sauti nzito, na wana mwendo wa kibabe hawanaga mapozi kwenye kutembea
 
Yupo?alikua rafiki mpendwa wa late baba yangu....nimefurahi sana kujua kama yupo asante[emoji120]
Yupo..albeit very old now.
Lakini anafanya mambo yake mwenyewe, hamtegemei mtu yeyote kwa maisha yake ya kila siku. Very smart akiamua kutoka....
Mimi ni umri wa wanae, lakini ametokea kuwa rafiki yetu....my friends and myself.
 
Kanda ya kusini mikoa ya iringa,njombe,na mbeya mazingira yapo green hadi raha.
Shid ya hiyo kanda kwa upande wa akina dada kwa kweli hawakujaliwa kama kanda zingine,wadada wana sura ngumu balaa utadhani wanaume
Ila tunamudu maisha yetu,sio tegemeziiiii..sura ngumu zinatupa ushujaa maana hatutegemei sura..hatuuzi sura hataaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] tunachapa kazii kwakweli proud of ourselves taking care of our families tupo vizuri kichwani.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Yupo..albeit very old now.
Lakini anafanya mambo yake mwenyewe, hamtegemei mtu yeyote kwa maisha yake ya kila siku. Very smart akiamua kutoka....
Mimi ni umri wa wanae, lakini ametokea kuwa rafiki yetu....my friends and myself.
Mungu yu mwema sana..namwomba aendelee kumpa maisha marefu..ya furaha..ni mtu mwema na busara sana

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Yupo?alikua rafiki mpendwa wa late baba yangu....nimefurahi sana kujua kama yupo asante[emoji120]
Ni PM jina la your late father(may he rest in peace), nije nimfikishie salamu kutoka kwako. Nina uhakika atafurahiwa sana kuwa umemkumbuka.
 
Back
Top Bottom