The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hii ndio JF ya siku hizi sasa,comments zinamshambulia mleta mada "Personal attack" badala ya kuishambulia mada husika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeenda kunukuu alichoandika kitenge ukasahau sehemu hiiMamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imealika kampuni kutuma zabuni kwa ajili ya kusimamia kituo cha makontena (Container Terminal II) kinachohusisha gati namba 8 hadi 11 katika Bandari ya Dar es Salaam, Hii ni eneo ambalo hapo awali lilisimamiwa na kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania (TICTS) kwa miaka 22, kampuni inayomilikiwa kwa kiasi kikubwa na Hutchison Ports ya Hong Kong.
Tanzania pia kwa sasa inaendeleza mazungumzo na DP World, kampuni kubwa ya huduma za bandari ya Dubai, ili kusimamia gati namba 1 hadi hadi 7 katika bandari hiyo. Tanzania inaboresha miundombinu kwenye Bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza ufanisi utakaoiwezesha kushindana na bandari nyingine, ikiwemo bandari ya Mombasa nchini Kenya. Kama sehemu ya mipango ya Tanzania, DP World itasimamia magati 1-7, huku mwendeshaji mwingine wa kimataifa wa bandari akiendesha gati namba 8-11 kwa lengo la kuleta ufanisi wa hali ya juu.
Haya wale wapambe Mkataba mliuona au mlilishwa tango pori?
Jpm alikua mzalendo?Mkuu hii ndo shida ya machawa na ma viongozi mafisadi Kama wewe😂.
👉Naku hakikishia Kama siku aka tokea mzalendo wa kweli ka jpm, Basi mtarudi kusaga kunguni.
Mkuu huwezi kujadili kwa stara🤔, au ndo lugha wanayo tumia wazazi waki nyumbani🤐We shetani wako jpm mfuate alipo, usituchefue hapa hana uzalendo muuaii na mbaguzi yule mfu wenu. Eti mzalendo we unajua maana ya uzalendo
Ukiona watu hawajadili mada wanamshambulia mtoa mada yamkini mada aliyotoa ni ya kijinga, na maana hiyo imetoka kwenye kichwa Cha mjinga ambaye ni mtoa mada, hivyo mtoa mada ni mjinga ikiwa ubongo ulioko katika kichwa chake una kazi ya kuprocess information zote za mwili!Hii ndio JF ya siku hizi sasa,comments zinamshambulia mleta mada "Personal attack" badala ya kuishambulia mada husika!
SawaOmba uzima, Samia mpaka 2030 imeshapita hiyo labda umeze wembe kupunguza maumivu
Lazima umchukie maana mlizoea kupandisha twiga mwenye ndege, 👉kusaini mikataba ya kuuza mgodi wa buzwagi kwa zaidi ya miaka 100We shetani wako jpm mfuate alipo, usituchefue hapa hana uzalendo muuaii na mbaguzi yule mfu wenu. Eti mzalendo we unajua maana ya uzalendo
Kwani ukiona mada haijadiliki na wewe au inahusu kitu ambacho wewe hukutaka kukisikia si unaachana nayo tu na kwenda kwenye thd zingine?Ukiona watu hawajadili mada wanamshambulia mtoa mada yamkini mada aliyotoa ni ya kijinga, na maana hiyo imetoka kwenye kichwa Cha mjinga ambaye ni mtoa mada, hivyo mtoa mada ni mjinga ikiwa ubongo ulioko katika kichwa chake una kazi ya kuprocess information zote za mwili!
Kinachofanyika hapo ni kureset akili yake aache kuwa mjinga kwanza na atoe mada ambazo zinajadilika
Mikataba ya hovyo, halafu atokee mtu aanze kuwa tukana kina chief mangugo wa msovero.Omba uzima, Samia mpaka 2030 imeshapita hiyo labda umeze wembe kupunguza maumivu
Brother hakuna jambo lisilojadilika chini ya jua! Kisichojadilika ni Mungu tu!Kwani ukiona mada haijadiliki na wewe au inahusu kitu ambacho wewe hukutaka kukisikia si unaachana nayo tu na kwenda kwenye thd zingine?
Hakuna mtu mwenye authority ya kusema anamwelesha mtu. Nadhani ungesema pale watu wanavyojadili tofauti na matakwa au matarajio yao! Hii ndio maana ya kuwa great thinker! Mtu anaposhundwa kufikiri hukimbilia matusi! Mtu anapodhani anajua zaidi hukimbilia Ile lugha "upotoshaji" mambo ya maandishi yanajieleza yenyewe hayahitaji kueleweshwa hasa Kwa mtu ambaye ni Msomi Kwa kiwango Cha kujiunga JF, Labda huko Sitimbi watahitaji kueleweshwa Kwa namna ya kuwasaidia kuelewa au kudangnywa vile vileYAANI HUMU INAONEKANA WENGI WANABURUZWA HATA MKATABA HAWAUJUI NDIOYO MAANA WENGI WANATUKANA MNAVYOELEWESHWA KAMA HUJUI KAA KIMYA
Na ndio hao wengi wao wanaishia tu kumtukana mleta mada wala hawataki kusikia kitu kingine zaidi ya kile ambacho wamesha mezeshwa ukichanganya na roho zao mbaya na chuki.YAANI HUMU INAONEKANA WENGI WANABURUZWA HATA MKATABA HAWAUJUI NDIOYO MAANA WENGI WANATUKANA MNAVYOELEWESHWA KAMA HUJUI KAA KIMYA
Bora kunguni huyu kashakua kupeChawa kama chama naona unavuka viwango unaenda kua kunguni kabisa.
Anza toba mwenyewe kwa kuendelea kujaribu kutuhadaa😂Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imealika kampuni kutuma zabuni kwa ajili ya kusimamia kituo cha makontena (Container Terminal II) kinachohusisha gati namba 8 hadi 11 katika Bandari ya Dar es Salaam, Hii ni eneo ambalo hapo awali lilisimamiwa na kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania (TICTS) kwa miaka 22, kampuni inayomilikiwa kwa kiasi kikubwa na Hutchison Ports ya Hong Kong.
Tanzania pia kwa sasa inaendeleza mazungumzo na DP World, kampuni kubwa ya huduma za bandari ya Dubai, ili kusimamia gati namba 1 hadi hadi 7 katika bandari hiyo. Tanzania inaboresha miundombinu kwenye Bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza ufanisi utakaoiwezesha kushindana na bandari nyingine, ikiwemo bandari ya Mombasa nchini Kenya. Kama sehemu ya mipango ya Tanzania, DP World itasimamia magati 1-7, huku mwendeshaji mwingine wa kimataifa wa bandari akiendesha gati namba 8-11 kwa lengo la kuleta ufanisi wa hali ya juu.
Haya wale wapambe Mkataba mliuona au mlilishwa tango pori?