Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bora wewe, me hapa nimelala na limwanamke langu limenipa sharti la kijinga naona hata saa kumi ni wiki ijayo dadek.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila kuna watu sio waoga jamani hivi mnaanzaje kushare chumba hamjuani aujawaza labda usiku unaweza kuuliwa au vipi achana na habari za kulala kitanda kimoja kwanza mapenzi ni hisia nahisi kila mmoja alikuwa hana hisia na mwenzie
 
Kweli Malaika Sometime wako kazini nawaza ingekuwa ni mimi Kungekucha kweli sema Hiyo nayo ni sehemu ya kutojielewa tu. Wanawake si wa kuwaacha hata kidogo labda awe ndg yako wa kuzaliwa au ukoo wako Vinginevyo hio dhambi ya kuacha mwanamke siiwezi
kwakweli kama huko kuacha mwanamke ndio u gentleman wenyewe...mimi unipitie mbali aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…