Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

huo ndo U Getleman sasa, haijawah nitokea ila kdg tu itokee pale msavu, demu wakat anasagula mzee manguo yanatoa vumbi na alikua amevaa lichupi kubwa halaf jeusi tiii, yaan kaniki si kaniki pazia si pazia, nilipga chafya kama 11 hv bila kupumzika, Nilichomoka usiku huohuo nikaenda kulala na wapga debe, Yule nahc alikua mganga wa kienyej angenigeuza kuku yule mdada asee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu kuoga tumeoga ila si kila mtu na mda wake ana akingia anakomea toilet akitoka na toilo yake unaangaliaga kwa mbali tu then unapotezea
Aisee! Kumbe kuna mengi haujayasema, ebu tiririka hiyo hatua ya kupokezana kwenda kuiva.
 
Dah, umenkunbusha mbaali kweli kweli,
Long time, kuna demu nililala kwake for 3 days bila kum*****a, kila tukichat anagusia haamini kama alisalimika those days, namwambiaga nilimuona matawi saana na angentolea nje nikaaibika.
Basi bichwa linaviiimba, hajui tu expectations zangu hazikusoma.

She is still my good friend na naamini siku nkishikwa nna pa kikimbilia
 
Hakuna kitu mwanamke anajisikia VIBAYA KAMA ULALE NAE HALAFU umpuuze,,,anajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu...tena mnalala kwa Mara ya kwnz...

Hata ipite miaka kumi bado anakuwa hajasahau. Sijui kwa nini. Nadhani wanaamini lazima watongozwe ila wao ndiyo wawe waamuzi.
 
Sema naona mafisi yamewaka moto na tamaa kwa jamaa kutodandia chance[emoji23]
 
Uzinzi siyo mzuri ila inaonekana wewe ni muoga sana... ulikua unasubiria mwanamke akuanze yeye...

Unless labda kama mmoja alilala chini na mwingine kitandani tena na nguo ngumu... ila kama wote mmelala kitanda kimoja na nguo nyepesi...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom