Yako Atta
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 279
- 455
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]huo ndo U Getleman sasa, haijawah nitokea ila kdg tu itokee pale msavu, demu wakat anasagula mzee manguo yanatoa vumbi na alikua amevaa lichupi kubwa halaf jeusi tiii, yaan kaniki si kaniki pazia si pazia, nilipga chafya kama 11 hv bila kupumzika, Nilichomoka usiku huohuo nikaenda kulala na wapga debe, Yule nahc alikua mganga wa kienyej angenigeuza kuku yule mdada asee