Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

Hakuna kitu mwanamke anajisikia VIBAYA KAMA ULALE NAE HALAFU umpuuze,,,anajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu...tena mnalala kwa Mara ya kwnz...
Kweli mkuu unakuta huyo bi dada alienda kunywa sumu
 
Hongera kwa hilo, tamaa huanzia kichwani na kushindwa kuicontrol ni udhaifu sana. Binafsi hilo lilishanitokea zaidi ya mara 3, na msimamo ulikuwa imara, japo mazingira yote ya utayari yalioneshwa but nikawaeleza siwezi chukulia advantage ya safari kukidhi tamaa, ni ulimbukeni. Gentleman unafanya kitu ulichokuwa tayari kikifanya toka awali na si kuegemea loose ball kama hizo.
 
dah! Mkuu haukuelewa tu kwa nini ali delay safari yake? Hadi mkatoka wote saaa nne
 
Hiyo kawaida tu tena kwangu iliwahi kunitokea mara mbili. Inajenga heshima.
Enzi za usafiri wa train nilitoka MZ naelekea Dar kufika Shinyanga tukakuta kuna ajali reli imeng'oka hivyo tukaambiwa tutaendelea na safari kesho yake watakapokuwa wamefanya matengenezo.
Ilikuwa saa 07"30 usiku, nikashuka kwenda kutafuta pa kupumzika. Mdadammoja mwembamba sana akaniomba tuende wote na yeye apumzike nikamkubalia.
Tulilala kitanda kimoja... na maongezi yetu yalikuwa ya general. Asubuhi tulipoamua tukaenda restaurant tukapumzika kwa kupata vinywaji kama mawaida. Saa 07 mchana tudo tuliondoka pale kuendelea na safari.
Yeye aliishia Dodoma, mi niliendelea hadi mwisho.

Tuliendelea kuwa na mawasiliano mazuri ila siku moja uzalendo ulinishinda ...
 
hahaa waoge wapi... kwanza angeoga nae sindio angemkula....daaahh unaachaje demu hivi hivi...." Aiseee wenyekiti hii ni haki kweli hii... Castr .. Ambiele Kiviele " Wick
Kwanza kabisa sijawahi pata safarini seat moja na bimdada yeyote yule sijui mkosi!.
Mengine kwakweli nimechukia alivyoleta ila labda niulize hivi upo na mwanamke ambae huna hisia nae mpaka saa 4 asubuhi mnajadili nini humo ndani!?.. Sawa usiku yawezekana mlichoka na safari which kwa mwanaume ni dhambi kubwa lakini mpaka saa 12 imekukuta bado tu upo nae haya hayo masaa 4 mengine bado tu mnaangaliana!?..
Pumbavu sana!.
 
Sio Inna kweli?
 
hahaaa "" Hii itakuwa chai" kashata mkuu
 
hahaaa "" Hii itakuwa chai" kashata mkuu
Kutembea na condom kwenye wallet sio dhambi, dhambi mke/GF kuiona bana!..
Kuna baadhi ya wawakilishi wetu wanatuangusha, heri ya Castr anawakunja hata vyoo vya dreamliner!.
 
Huyo dada hakuchukua hata namba yako kweli? Ameondoka na maswali mengi sana, hujatuaibisha wanaume maana siku zote tunaonekana wakware.

Vv
 
Kutembea na condom kwenye wallet sio dhambi, dhambi mke/GF kuiona bana!..
Kuna baadhi ya wawakilishi wetu wanatuangusha, heri ya Castr anawakunja hata vyoo vya dreamliner!.
hahaaaa ..kwakweli " wanatuangusha mnooo" haswaaa ..halafu wanajificha kwenye kivuli cha u- gentleman " u- gentle " hauko hivyo " aiseee
 
We ni mwanaume wa Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…