unaanzia hapo hapo yatakapokukuta babeSijawahi mimi babe naanzaje
Utakuwa na "kiwi cha macho"Mimi naomba isinikute hii maana hata akipita tu mwanamke nguo ikapigwa na upepo mimi huku hoi taabani sembuse chumbani [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]huo ndo U Getleman sasa, haijawah nitokea ila kdg tu itokee pale msavu, demu wakat anasagula mzee manguo yanatoa vumbi na alikua amevaa lichupi kubwa halaf jeusi tiii, yaan kaniki si kaniki pazia si pazia, nilipga chafya kama 11 hv bila kupumzika, Nilichomoka usiku huohuo nikaenda kulala na wapga debe, Yule nahc alikua mganga wa kienyej angenigeuza kuku yule mdada asee
Kweli mkuu. Hata kumpapasa nyonga alishindwa?! Kweli wanaume tumetofautianaUngekuwa unamgusisha-gusisha u-b-o-o kwenye makalio ungefanya ignition..na dem huko aliko anajua we ni hanithi sababu ulishindwa kuonyesha jitihada zozote...
Kwa wanaume hamna hisia ngoma ikisimama unachomeka tuIla kuna watu sio waoga jamani hivi mnaanzaje kushare chumba hamjuani aujawaza labda usiku unaweza kuuliwa au vipi achana na habari za kulala kitanda kimoja kwanza mapenzi ni hisia nahisi kila mmoja alikuwa hana hisia na mwenzie
Mkuu sema wakuzaliwa tu ndio wakuacha ndugu akiingia Bandani unatafuna tu So long as mazingira ya kuliwa katengeneza mwenyewe, Yani apo kwa scenario ya jamaa demu alikuwa kashaelekea kibra basi ni kama kusukuma tu Mlevi, Ningekaza walai tena dry potelea poteee[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Kweli Malaika Sometime wako kazini nawaza ingekuwa ni mimi Kungekucha kweli sema Hiyo nayo ni sehemu ya kutojielewa tu. Wanawake si wa kuwaacha hata kidogo labda awe ndg yako wa kuzaliwa au ukoo wako Vinginevyo hio dhambi ya kuacha mwanamke siiwezi
Sijawahi honeyunaanzia hapo hapo yatakapokukuta babe
Hahaha, aisee.Haudindi wewe. Joka la kibisa a.k.a hanithi.
Wengi hawataelewa hii comment sababu uzinzi umetawala kwenye vichwa vyao kiasi kwamba imekuwa ni jambo la kawaida kufanya na mtu ambae mmekutana nae bahati mbaya. Humjui hakujui mmekutana safari then unataka kula tuDhambi always huchangiwa na tamaa ya mtu.....
Hukuendekeza tamaa mkuu..hongera sanaa kaka
Yeah kaka ni kweli coz fikra ikipotoka weka mbali na mazngraWengi hawataelewa hii comment sababu uzinzi umetawala kwenye vichwa vyao kiasi kwamba imekuwa ni jambo la kawaida kufanya na mtu ambae mmekutana nae bahati mbaya. Humjui hakujui mmekutana safari then unataka kula tu
Kuna Siri zingine huwa ni ngumu hata kuendelea kuziwaza mbele za watu. Inabaki kuwa siri yako tu.HakyaMungu ukisema uamini majibu ya members wa humu jf bila ya kuchanganya na akili zako utaumia
Big up bro labda demu changudoa,malaya,ana ngoma wengi wangemuacha tofauti na wanavyocoment hapa
Kitandani hakuna ugentleman huku kuangushana tu, mtu kama huyo akimaliza story yake unamsindikiza na kofi labda anaota!.hahaaaa ..kwakweli " wanatuangusha mnooo" haswaaa ..halafu wanajificha kwenye kivuli cha u- gentleman " u- gentle " hauko hivyo " aiseee
haya babeSijawahi honey