Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

huo ndo U Getleman sasa, haijawah nitokea ila kdg tu itokee pale msavu, demu wakat anasagula mzee manguo yanatoa vumbi na alikua amevaa lichupi kubwa halaf jeusi tiii, yaan kaniki si kaniki pazia si pazia, nilipga chafya kama 11 hv bila kupumzika, Nilichomoka usiku huohuo nikaenda kulala na wapga debe, Yule nahc alikua mganga wa kienyej angenigeuza kuku yule mdada asee
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ungekuwa unamgusisha-gusisha u-b-o-o kwenye makalio ungefanya ignition..na dem huko aliko anajua we ni hanithi sababu ulishindwa kuonyesha jitihada zozote...
Kweli mkuu. Hata kumpapasa nyonga alishindwa?! Kweli wanaume tumetofautiana
 
Ila kuna watu sio waoga jamani hivi mnaanzaje kushare chumba hamjuani aujawaza labda usiku unaweza kuuliwa au vipi achana na habari za kulala kitanda kimoja kwanza mapenzi ni hisia nahisi kila mmoja alikuwa hana hisia na mwenzie
Kwa wanaume hamna hisia ngoma ikisimama unachomeka tu
 
Kweli Malaika Sometime wako kazini nawaza ingekuwa ni mimi Kungekucha kweli sema Hiyo nayo ni sehemu ya kutojielewa tu. Wanawake si wa kuwaacha hata kidogo labda awe ndg yako wa kuzaliwa au ukoo wako Vinginevyo hio dhambi ya kuacha mwanamke siiwezi
Mkuu sema wakuzaliwa tu ndio wakuacha ndugu akiingia Bandani unatafuna tu So long as mazingira ya kuliwa katengeneza mwenyewe, Yani apo kwa scenario ya jamaa demu alikuwa kashaelekea kibra basi ni kama kusukuma tu Mlevi, Ningekaza walai tena dry potelea poteee[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Ilishawahi kunitokea hiyo, tulikuwa tunasafiri kwa usafiri wake na hatujuani, sasa gari ikaharibika njiani, tukafika sehemu usiku sana tukaamua kulala kila hoteli imejaa, ndo tukabahatisha moja ina chumba kimoja tu kimebakia, akanihakikishia hata nisumbua na ikawa hivyo kweli, basi tulilala hadi asubuhi bila chochote, yaani huyo kaka hadi leo namuheshimu mno, nyingine tulisafiri kwenda kwenye mahafali UDOM, basi hadi usiku sherehe zimeisha maana baada ya sherehe za chuoni walikuwa na sherehe zao zingine, basi baada ya sherehe hakuna vyumba hotelini, ilibidi tuchangie chumba kimoja na rafiki yangu wa kiume, yaani hadi asubuhi niko salama, huyu tunaishi kama ndugu kwa sasa, kweli kuna wanaume waaminifu duniani
 
HakyaMungu ukisema uamini majibu ya members wa humu jf bila ya kuchanganya na akili zako utaumia
Big up bro labda demu changudoa,malaya,ana ngoma wengi wangemuacha tofauti na wanavyocoment hapa
 
Dhambi always huchangiwa na tamaa ya mtu.....
Hukuendekeza tamaa mkuu..hongera sanaa kaka
Wengi hawataelewa hii comment sababu uzinzi umetawala kwenye vichwa vyao kiasi kwamba imekuwa ni jambo la kawaida kufanya na mtu ambae mmekutana nae bahati mbaya. Humjui hakujui mmekutana safari then unataka kula tu
 
Wengi hawataelewa hii comment sababu uzinzi umetawala kwenye vichwa vyao kiasi kwamba imekuwa ni jambo la kawaida kufanya na mtu ambae mmekutana nae bahati mbaya. Humjui hakujui mmekutana safari then unataka kula tu
Yeah kaka ni kweli coz fikra ikipotoka weka mbali na mazngra
 
HakyaMungu ukisema uamini majibu ya members wa humu jf bila ya kuchanganya na akili zako utaumia
Big up bro labda demu changudoa,malaya,ana ngoma wengi wangemuacha tofauti na wanavyocoment hapa
Kuna Siri zingine huwa ni ngumu hata kuendelea kuziwaza mbele za watu. Inabaki kuwa siri yako tu.
 
ishu itakuja pale ambapo utaanza kujutia kuwa ni kwanini hata hukumuomba namba yake....na kuna kipindi utajutia katika maisha kwa tukio kama hili....nakusihi usilieze kwa mwingine kwani shetani atakufanya hamna...
 
Mybe demu alikuw anafanana na late bi kidude kama sio hivyo basi we ni mgonjwa, au unakung'utwa nyuma.
 
Duh mtoa mada wewe ni zoba sana. Kwa mie mtaalam wa mipira iliyokufa hapa lazima ningecheka na wavu
 
hahaaaa ..kwakweli " wanatuangusha mnooo" haswaaa ..halafu wanajificha kwenye kivuli cha u- gentleman " u- gentle " hauko hivyo " aiseee
Kitandani hakuna ugentleman huku kuangushana tu, mtu kama huyo akimaliza story yake unamsindikiza na kofi labda anaota!.
 
Back
Top Bottom