Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

Kuna wakati nilifikiri naweza hilo ila kwa sasa sijui kama nnaweza kujaribu hiyo kitu hata kidogo. Miezi miwili...!
 
Haha hahaha ha
 
As a man siku zote ukisafiri lazima ubebe pakiti ya condom (hata usipotumia)
Kitendo cha mwanamke kuomba kulala na wewe ni green light ya kuomba huduma
U gentleman ni kumfanya aridhie kufanya sio kumbaka ama kumuachs kama ulivyofanya wewe
Siku zote kwenye matukio kama hayo ujue unarepresent wanaume wote na kwa kitendo chako you have failed us all
 
Ngoja uone kizazi cha nyoka jinsi watawalaumu hao wanaume wastaarabu.
 
Nlikuwa bangarole masomoni, siku moja tumeenda tour goa hoteli tulopanga kufikia tukakuta imejaa ikabidi tupewe vyumba vya kuchangia, tulikuwa kama 40 hivi, nikalala na jamaa mmoja nlikuwa simpendi balaaaaaaaaaaaa. Anatokea namibia. Siku mbili kwangu zilikuwa kama wiki mbili
 
Kutokana na hizi comment nimegundua wanaume wanapenda sana uzinzi duuh[emoji23][emoji23][emoji23]

Hongera kaka ulifanya kitu cha maana saana
Sio uzinzi ni kwamba sisi ni madume tunapenda sana kuwapanda majike. Hivi ingekuwa wewe una kuku zako 20 na jogoo wawili halafu hao majogoo hawangati hao kuku miaka na miaka utajisikiaje tuache hayo una Ngombe zako vivyo hivo madume wakagoma utafurahi kweli? Mwanaume mzuri ni yule anaeangalia viashiria vya joto la mwanamke au hata kuamsha ikibidi kisha kumpanda bila hivo hii dunia wanadamu watakuja kwisha tukifuata utaratibu wa kuwaacha wanawake eti tunasubiri waseme njoo nikule
 
Daaa!!! Aisee nenda kapime utakuwa una matatizo sio bure
 
huyo dada lazima aendekwa mganga akacheki nyota. wanawake wana mambo undefined
 
Hahaha
 
Ila kuna watu sio waoga jamani hivi mnaanzaje kushare chumba hamjuani aujawaza labda usiku unaweza kuuliwa au vipi achana na habari za kulala kitanda kimoja kwanza mapenzi ni hisia nahisi kila mmoja alikuwa hana hisia na mwenzie
Aah shinie sometimes inatokea unamuamin mtu tu by single facial look

Unajua hawezi kukudhuru ndo ilivvyotokea kwangu but skua na hisia za ajabu kabisa
 
Wanaume maboyaa semaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…