Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

Wakati nimemaliza chuo kikuu nilipanga kagheto kangu mitaa fulani hivi huku mjini kwetu ili niweze kuwa karibu na harakati zangu za kuingiza vijisenti vya kujitegemea mjini. Miezi kama miwili walikuja mabinti kama nane hivi waliokuwa wanafanya field kwenye taasisi fulani hapo. Hawa walikua wanasoma certificate kwa hiyo walikua mabinti wadogo kabisa

Mabinti wale walionekana micharuko na watoto wa mjini isipokua mmoja tu ambaye alioneka wa kutoka kijijini au mshamba. Kutokana na mimi kuwa kijana pekee kwa ile nyumba kila binti alitaka ukaribu na mimi

Yule binti mshamba alinyanyaswa sana na wenzie kwa sababu walimwona haendani nao. Mimi huwa nina huruma na mabinti wanyonge hivyo nilimvuta karibu yangu. Alinizoea sana hasa kwa sababu nilimfariji kutokana na madhila ya wenzie

Nikitoka kwenye harakati zangu nlikua namletea ice cream,kinywaji au chips. Nikikosa kabisa angalau chungwa au pipi ikibidi

Hii iliwakasirisha hao watoto wa mjini mwishowe wakamtimua gheto kwa kusingizia kwamba ni mchafu (kiukweli hakuwa mchafu)

Basi alivyofukuzwa akanililia kwamba hana pa kwenda na hela ya kupanga chumba kujitegemea kwa sababu pale waliishi wanane chumba kimoja. Aliniomba aishi na mimi nikamkubalia kwa moyo mkunjufu. Kutokana na mazingira yenyewe,nilijiapiza kwamba sitatake advantage na kumlala mtoto wa watu kwa sababu ya matatizo yake

Basi tukaanza kuishi pamoja. Nampa pesa anaenda sokoni,anapika chakula kizuri sana,namnunulia muvi anaangalia,nikipata nguo ya bei rahisi nzuri namnunulia kama mwanangu

Tuliishi hivyo miezi miwili bila kupiga show kabisa. Muda wa kuoga na kuvaa tunapishana kupeana nafasi. Alikua akiniita kaka

Siku ya kuondoka ikawadia. Alinishukuru mno,alipiga magoti akalia machozi. Mimi poa nilitokwa na mchozi,sijui kwa sababu gani

Nilimtakia kila la heri naye akaniombea kila aina ya baraka. Aliondoka,tukawasiliana for few weeks tukapotezana. Sijui alipo kwa sasa ila naamini Mungu anaendelea kumpigania. Atakayemuoa yule binti atakua kapata mke bora kabisa!
Kuna wakati nilifikiri naweza hilo ila kwa sasa sijui kama nnaweza kujaribu hiyo kitu hata kidogo. Miezi miwili...!
 
Mkuu sema wakuzaliwa tu ndio wakuacha ndugu akiingia Bandani unatafuna tu So long as mazingira ya kuliwa katengeneza mwenyewe, Yani apo kwa scenario ya jamaa demu alikuwa kashaelekea kibra basi ni kama kusukuma tu Mlevi, Ningekaza walai tena dry potelea poteee[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Haha hahaha ha
 
As a man siku zote ukisafiri lazima ubebe pakiti ya condom (hata usipotumia)
Kitendo cha mwanamke kuomba kulala na wewe ni green light ya kuomba huduma
U gentleman ni kumfanya aridhie kufanya sio kumbaka ama kumuachs kama ulivyofanya wewe
Siku zote kwenye matukio kama hayo ujue unarepresent wanaume wote na kwa kitendo chako you have failed us all
 
Ilishawahi kunitokea hiyo, tulikuwa tunasafiri kwa usafiri wake na hatujuani, sasa gari ikaharibika njiani, tukafika sehemu usiku sana tukaamua kulala kila hoteli imejaa, ndo tukabahatisha moja ina chumba kimoja tu kimebakia, akanihakikishia hata nisumbua na ikawa hivyo kweli, basi tulilala hadi asubuhi bila chochote, yaani huyo kaka hadi leo namuheshimu mno, nyingine tulisafiri kwenda kwenye mahafali UDOM, basi hadi usiku sherehe zimeisha maana baada ya sherehe za chuoni walikuwa na sherehe zao zingine, basi baada ya sherehe hakuna vyumba hotelini, ilibidi tuchangie chumba kimoja na rafiki yangu wa kiume, yaani hadi asubuhi niko salama, huyu tunaishi kama ndugu kwa sasa, kweli kuna wanaume waaminifu duniani
Ngoja uone kizazi cha nyoka jinsi watawalaumu hao wanaume wastaarabu.
 
Nlikuwa bangarole masomoni, siku moja tumeenda tour goa hoteli tulopanga kufikia tukakuta imejaa ikabidi tupewe vyumba vya kuchangia, tulikuwa kama 40 hivi, nikalala na jamaa mmoja nlikuwa simpendi balaaaaaaaaaaaa. Anatokea namibia. Siku mbili kwangu zilikuwa kama wiki mbili
 
Kutokana na hizi comment nimegundua wanaume wanapenda sana uzinzi duuh[emoji23][emoji23][emoji23]

Hongera kaka ulifanya kitu cha maana saana
Sio uzinzi ni kwamba sisi ni madume tunapenda sana kuwapanda majike. Hivi ingekuwa wewe una kuku zako 20 na jogoo wawili halafu hao majogoo hawangati hao kuku miaka na miaka utajisikiaje tuache hayo una Ngombe zako vivyo hivo madume wakagoma utafurahi kweli? Mwanaume mzuri ni yule anaeangalia viashiria vya joto la mwanamke au hata kuamsha ikibidi kisha kumpanda bila hivo hii dunia wanadamu watakuja kwisha tukifuata utaratibu wa kuwaacha wanawake eti tunasubiri waseme njoo nikule
 
Wakati nimemaliza chuo kikuu nilipanga kagheto kangu mitaa fulani hivi huku mjini kwetu ili niweze kuwa karibu na harakati zangu za kuingiza vijisenti vya kujitegemea mjini. Miezi kama miwili walikuja mabinti kama nane hivi waliokuwa wanafanya field kwenye taasisi fulani hapo. Hawa walikua wanasoma certificate kwa hiyo walikua mabinti wadogo kabisa

Mabinti wale walionekana micharuko na watoto wa mjini isipokua mmoja tu ambaye alioneka wa kutoka kijijini au mshamba. Kutokana na mimi kuwa kijana pekee kwa ile nyumba kila binti alitaka ukaribu na mimi

Yule binti mshamba alinyanyaswa sana na wenzie kwa sababu walimwona haendani nao. Mimi huwa nina huruma na mabinti wanyonge hivyo nilimvuta karibu yangu. Alinizoea sana hasa kwa sababu nilimfariji kutokana na madhila ya wenzie

Nikitoka kwenye harakati zangu nlikua namletea ice cream,kinywaji au chips. Nikikosa kabisa angalau chungwa au pipi ikibidi

Hii iliwakasirisha hao watoto wa mjini mwishowe wakamtimua gheto kwa kusingizia kwamba ni mchafu (kiukweli hakuwa mchafu)

Basi alivyofukuzwa akanililia kwamba hana pa kwenda na hela ya kupanga chumba kujitegemea kwa sababu pale waliishi wanane chumba kimoja. Aliniomba aishi na mimi nikamkubalia kwa moyo mkunjufu. Kutokana na mazingira yenyewe,nilijiapiza kwamba sitatake advantage na kumlala mtoto wa watu kwa sababu ya matatizo yake

Basi tukaanza kuishi pamoja. Nampa pesa anaenda sokoni,anapika chakula kizuri sana,namnunulia muvi anaangalia,nikipata nguo ya bei rahisi nzuri namnunulia kama mwanangu

Tuliishi hivyo miezi miwili bila kupiga show kabisa. Muda wa kuoga na kuvaa tunapishana kupeana nafasi. Alikua akiniita kaka

Siku ya kuondoka ikawadia. Alinishukuru mno,alipiga magoti akalia machozi. Mimi poa nilitokwa na mchozi,sijui kwa sababu gani

Nilimtakia kila la heri naye akaniombea kila aina ya baraka. Aliondoka,tukawasiliana for few weeks tukapotezana. Sijui alipo kwa sasa ila naamini Mungu anaendelea kumpigania. Atakayemuoa yule binti atakua kapata mke bora kabisa!
Daaa!!! Aisee nenda kapime utakuwa una matatizo sio bure
 
huyo dada lazima aendekwa mganga akacheki nyota. wanawake wana mambo undefined
 
Dah, umenkunbusha mbaali kweli kweli,
Long time, kuna demu nililala kwake for 3 days bila kum*****a, kila tukichat anagusia haamini kama alisalimika those days, namwambiaga nilimuona matawi saana na angentolea nje nikaaibika.
Basi bichwa linaviiimba, hajui tu expectations zangu hazikusoma.

She is still my good friend na naamini siku nkishikwa nna pa kikimbilia
Hahaha
 
Ila kuna watu sio waoga jamani hivi mnaanzaje kushare chumba hamjuani aujawaza labda usiku unaweza kuuliwa au vipi achana na habari za kulala kitanda kimoja kwanza mapenzi ni hisia nahisi kila mmoja alikuwa hana hisia na mwenzie
Aah shinie sometimes inatokea unamuamin mtu tu by single facial look

Unajua hawezi kukudhuru ndo ilivvyotokea kwangu but skua na hisia za ajabu kabisa
 
Ilishawahi kunitokea hiyo, tulikuwa tunasafiri kwa usafiri wake na hatujuani, sasa gari ikaharibika njiani, tukafika sehemu usiku sana tukaamua kulala kila hoteli imejaa, ndo tukabahatisha moja ina chumba kimoja tu kimebakia, akanihakikishia hata nisumbua na ikawa hivyo kweli, basi tulilala hadi asubuhi bila chochote, yaani huyo kaka hadi leo namuheshimu mno, nyingine tulisafiri kwenda kwenye mahafali UDOM, basi hadi usiku sherehe zimeisha maana baada ya sherehe za chuoni walikuwa na sherehe zao zingine, basi baada ya sherehe hakuna vyumba hotelini, ilibidi tuchangie chumba kimoja na rafiki yangu wa kiume, yaani hadi asubuhi niko salama, huyu tunaishi kama ndugu kwa sasa, kweli kuna wanaume waaminifu duniani
Wanaume maboyaa semaa
 
Back
Top Bottom