Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
We hayahaya babe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hayahaya babe
Alikuwa mwembamba sanaHiyo kawaida tu tena kwangu iliwahi kunitokea mara mbili. Inajenga heshima.
Enzi za usafiri wa train nilitoka MZ naelekea Dar kufika Shinyanga tukakuta kuna ajali reli imeng'oka hivyo tukaambiwa tutaendelea na safari kesho yake watakapokuwa wamefanya matengenezo.
Ilikuwa saa 07"30 usiku, nikashuka kwenda kutafuta pa kupumzika. Mdadammoja mwembamba sana akaniomba tuende wote na yeye apumzike nikamkubalia.
Tulilala kitanda kimoja... na maongezi yetu yalikuwa ya general. Asubuhi tulipoamua tukaenda restaurant tukapumzika kwa kupata vinywaji kama mawaida. Saa 07 mchana tudo tuliondoka pale kuendelea na safari.
Yeye aliishia Dodoma, mi niliendelea hadi mwisho.
Tuliendelea kuwa na mawasiliano mazuri ila siku moja uzalendo ulinishinda ...
Mkuu hii post yako nimecheka mwenyewe usiku huu watu wamelala[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kutembea na condom kwenye wallet sio dhambi, dhambi mke/GF kuiona bana!..
Kuna baadhi ya wawakilishi wetu wanatuangusha, heri ya Castr anawakunja hata vyoo vya dreamliner!.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kweli nimeamini gari la pombe huangukia karibu na eneo la msikiti.
Kama nawaona mausta wanasema najis hiyo najis hiyo...
Acha hizo, labda huyo demu hakukushawishi tu ukaamua kumpotezea.Ungekutana na mtoto wa ukweli usingechomoka mkuuTulipotoka ni mbali sna kulipo palipobakia ndo maana tukaamua wote tu rest kwa vile tuliulizia tukaambiwa safar za huko usafair had saa moja usiku unapatikana hakukua na sabbu ya ku rush while exactly reporting day ya target area ni monday
Unafua nguo zako za ndani ?Ilishawahi kunitokea hiyo, tulikuwa tunasafiri kwa usafiri wake na hatujuani, sasa gari ikaharibika njiani, tukafika sehemu usiku sana tukaamua kulala kila hoteli imejaa, ndo tukabahatisha moja ina chumba kimoja tu kimebakia, akanihakikishia hata nisumbua na ikawa hivyo kweli, basi tulilala hadi asubuhi bila chochote, yaani huyo kaka hadi leo namuheshimu mno, nyingine tulisafiri kwenda kwenye mahafali UDOM, basi hadi usiku sherehe zimeisha maana baada ya sherehe za chuoni walikuwa na sherehe zao zingine, basi baada ya sherehe hakuna vyumba hotelini, ilibidi tuchangie chumba kimoja na rafiki yangu wa kiume, yaani hadi asubuhi niko salama, huyu tunaishi kama ndugu kwa sasa, kweli kuna wanaume waaminifu duniani
hutakiwi laza damu chance zikitokea.Mkuu hii post yako nimecheka mwenyewe usiku huu watu wamelala[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Na wanawake wamegundua hivyo, ndiyo maana wakaja na majina "buzi" "kuchuna" na kuamua kufanya biashara ya maungo yao.Kutokana na hizi comment nimegundua wanaume wanapenda sana uzinzi duuh[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera kaka ulifanya kitu cha maana saana
daaa Big up sana kakaWakati nimemaliza chuo kikuu nilipanga kagheto kangu mitaa fulani hivi huku mjini kwetu ili niweze kuwa karibu na harakati zangu za kuingiza vijisenti vya kujitegemea mjini. Miezi kama miwili walikuja mabinti kama nane hivi waliokuwa wanafanya field kwenye taasisi fulani hapo. Hawa walikua wanasoma certificate kwa hiyo walikua mabinti wadogo kabisa
Mabinti wale walionekana micharuko na watoto wa mjini isipokua mmoja tu ambaye alioneka wa kutoka kijijini au mshamba. Kutokana na mimi kuwa kijana pekee kwa ile nyumba kila binti alitaka ukaribu na mimi
Yule binti mshamba alinyanyaswa sana na wenzie kwa sababu walimwona haendani nao. Mimi huwa nina huruma na mabinti wanyonge hivyo nilimvuta karibu yangu. Alinizoea sana hasa kwa sababu nilimfariji kutokana na madhila ya wenzie
Nikitoka kwenye harakati zangu nlikua namletea ice cream,kinywaji au chips. Nikikosa kabisa angalau chungwa au pipi ikibidi
Hii iliwakasirisha hao watoto wa mjini mwishowe wakamtimua gheto kwa kusingizia kwamba ni mchafu (kiukweli hakuwa mchafu)
Basi alivyofukuzwa akanililia kwamba hana pa kwenda na hela ya kupanga chumba kujitegemea kwa sababu pale waliishi wanane chumba kimoja. Aliniomba aishi na mimi nikamkubalia kwa moyo mkunjufu. Kutokana na mazingira yenyewe,nilijiapiza kwamba sitatake advantage na kumlala mtoto wa watu kwa sababu ya matatizo yake
Basi tukaanza kuishi pamoja. Nampa pesa anaenda sokoni,anapika chakula kizuri sana,namnunulia muvi anaangalia,nikipata nguo ya bei rahisi nzuri namnunulia kama mwanangu
Tuliishi hivyo miezi miwili bila kupiga show kabisa. Muda wa kuoga na kuvaa tunapishana kupeana nafasi. Alikua akiniita kaka
Siku ya kuondoka ikawadia. Alinishukuru mno,alipiga magoti akalia machozi. Mimi poa nilitokwa na mchozi,sijui kwa sababu gani
Nilimtakia kila la heri naye akaniombea kila aina ya baraka. Aliondoka,tukawasiliana for few weeks tukapotezana. Sijui alipo kwa sasa ila naamini Mungu anaendelea kumpigania. Atakayemuoa yule binti atakua kapata mke bora kabisa!
Ni mbaya sana ku-take advantage kwa ambaye yuko kwenye shida na kutumia shida yake kujinufaisha. Infact anakuwa defenseless na ukitumia shida zake kujinufaisha badala ya kumsaidia, unakuwa unamjeruhi mara dufu.daaa Big up sana kaka