Wale waliozaliwa 1995 pita hapa kuna ushauri

strongest

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,562
1-Fahamu kwamba ndo unaingia miaka 30. (ni mingi mno)

2-Hakikisha una mtoto
(kuoa sio muhimu ila hakisha una mtoto)

3- Kama umesoma huna ajira anza kusaka ajira rasmi

4-Bana matumizi, punguza matumizi ya social media ,pombe sigara

5-Stop kukumbizana na wanawake .

6-Jifunze kuvaa vizuri ,sio kila siku wewe ni vikaptula/vibukta na jezi.
 
Bibi yao naye anawakumbusha
FB_IMG_1733078221025.jpg
 
Mleta mada point namba mbili umepuyanga,Huo ni uonevu mkubwa sana kukileta kiumbe hai katika hii dunia iliyojaa madhila bila kuwa na mipango thabiti ya kutoa malezi ya kifedha na kihisia.

Acheni ubinafsi dunia ishajaa, wewe kama hujafanya lolote la kukumbukwa huwezi kuacha alama yoyote kwa kuleta uzao wako. Kuna wanasayansi na mafilosofa wa kale,ambao wao wanakumbukwa kwa michango yao katika hii dunia na sio uzao wako.

Majitu mweusi tuache kushauriana ujinga ni muda sasa watu tusisitizane katika ubunifu na ugunduzi. Nchi zetu za kiafrica zipo saturated na nguvu kazi ambayo nyingi inapotea bila kutumika.

Amkeni acheni kuwa na mawazo mgando na yaliyopitwa na wakati.Mtu huna urithi wowote wa maana. Unakuta mtu hana hata milioni 20 benki basi kosa hela ila huna hata shamba la heka 5 la kumuachia huyo kiumbe unayetaka kumleta lakini bado unakaza kiuno na ww unataka uache chapa,,, pumbavu tafuta hela kwanza acheni kuongeza circle ya umasikini.
 
Mleta mada point namba mbili umepuyanga,sio ni uonevu mkubwa sana kukileta kiumbe hai katika hii dunia ilijaa madhila bila kuwa na mipango thabit ya kutoa malezi ya kifedha na kihisia.

Acheni ubinafsi dunia ishajaa, wewe kama hujafanya lolote la kukumbukwa huwezi kuacha alama yoyote kwa kuleta uzao wao. Kuna wanasayansi na mafilosofa wa kale,ambao wao wanakumbukwa kwa michango yao katika hii dunia na sio uzao wao.

Majitu mweusi tuache kushauriana ujinga ni muda sasa watu tusisitizane katika ubunifu na ugunduzi. Nchi zetu za kiafrica zipo saturated na nguvu kazi ambayo nyingi inapotea bila kutumika.

Amkeni acheni kuwa na mawazo mgando na yaliyopitwa na wakati.Mtu huna urithi wowote wa maana(Huna hata milioni 20benki) wa kumuachia huyo kiumbe unayetaka kumleta lakini bado unakaza kiuno na ww unataka uache chapa,,, pumbavu tafuta hela kwanza acheni kuongeza circle ya umasikini.
kumbuka miaka 30 ni mingi mno
 
kumbuka miaka 30 ni mingi mno
kwahiyo ukizaa hovyo ndo miaka inapungua au serikali inakuwekea hela benki ya kukihudumia hicho kiumbe. Acheni kuendekeza fikra za kijima na za kizinjathropaz. Muelimike na mbadilike.

Kuna wapuuzi huko wanazaa hovyo saivi kumetokea kizazi cha "BASTERDS"/ MITOTO HARAMU hichi ni kizazi kilichozaliwa hovyohvyo kwa uzinzi uzinzi na ndo kizazi kitakuja kuwa cha hovyo kisicho na maadili na hii mitoto ni MIKATILI AJABU,HAINA HOFU WALA HAINA DINI, hii yote
ni kutokana binadamu kuzaa hovyohovyo na kulea watoto bila kuwa na FAMILIA wala kuwa na mpango na sababu mahususi ya kuzaliana.

Mtu anajiuza huko nayeye anawatoto ambao anategemea nao watakuwa wema hakuna kitu kama hicho. Inshort " KILA MTU ATAKULA ALIPOPELEKA MBOGA".

Nyie mnazaa hovyo na bado mitoto yenu inakuja kulia hamna ajira sasa faida yake ni nini??? Mtoto unamlea akiwa mdogo na utamlea tena akiwa mkubwa. Kichekesho ni pale utakapokuwa unamfukuza nyumbani akajitegemee na atakujibu "SIKUKUOMBA UNIZAE" hapo ndo wengi wenu vichwa vitatia akili.

Tulipofikia tukazane kupunguza kwanza huu umaskini wa vizazi na vizazi baada ya hapo ndo tuwaze kuongezeka.
 
Mleta mada point namba mbili umepuyanga,Huo ni uonevu mkubwa sana kukileta kiumbe hai katika hii dunia iliyojaa madhila bila kuwa na mipango thabiti ya kutoa malezi ya kifedha na kihisia.

Acheni ubinafsi dunia ishajaa, wewe kama hujafanya lolote la kukumbukwa huwezi kuacha alama yoyote kwa kuleta uzao wako. Kuna wanasayansi na mafilosofa wa kale,ambao wao wanakumbukwa kwa michango yao katika hii dunia na sio uzao wako.

Majitu mweusi tuache kushauriana ujinga ni muda sasa watu tusisitizane katika ubunifu na ugunduzi. Nchi zetu za kiafrica zipo saturated na nguvu kazi ambayo nyingi inapotea bila kutumika.

Amkeni acheni kuwa na mawazo mgando na yaliyopitwa na wakati.Mtu huna urithi wowote wa maana. Unakuta mtu hana hata milioni 20 benki basi kosa hela ila huna hata shamba la heka 5 la kumuachia huyo kiumbe unayetaka kumleta lakini bado unakaza kiuno na ww unataka uache chapa,,, pumbavu tafuta hela kwanza acheni kuongeza circle ya umasikini.
Ameeleza jambo la msingi sana.

Kwa nchi yetu hii ukipata mtoto hata kama huna hata 100, still atakula, atavaa na atasoma vizuri...tuna ujamaa bado amini ninachokuambia...labda kama hujaishi nchi zingine za kibepari au ht hapo Kenya

Uraweza kuchelewa kupata mtoto ukaja kumpata ukiwa na 35 hlf maisha yakawa yaleyale bila mabadiliko makubwa ukabaki na same wishes...na wengi wanaochelewa kupata watoto wanapitia katika hili kosa
 
Hatamimi kanishangaza Sana na hiyo point
 
Ale, avae, asome vizuri, halafu Baba Hana kazi anakaa kijiweni, hizo gharama Nani atalipa?
 
Ukiacha fasheni na ulimbukeni toa hasa faida ya kuwa na mtoto wakati huna hata mia mbovu zaidi ya kutujazia MALAYA,OMBAOMBA, VIBAKA,MACHINGA,MACHAWA,MAWINGA na MAJAMBAZI mitaani.
 
Ale, avae, asome vizuri, halafu Baba Hana kazi anakaa kijiweni, hizo gharama Nani atalipa?
tatizo mijitu myeusi inavichwa ila haina akili,,,,,,,

HAPA MTU HANA UWEZO WA KUVITIMIZA HIVYO VITU ILA BADO ANAKAZA FUVU NA YEYE YUMO KWENYE UZAZI😄😄😄😄

Mimi naendelea kusema mtu kama huna hela wala mali ambayo itakuwa nyezo ya uzalishaji acha kutuletea OMBAOMBA, MALAYA,MAWINGA,MACHAWA, VIBAKA,MAJAMBAZI na MACHINGA.

UMASKINI NI MBAYA SANA UNAFUBAZA AKILI!!!!
 
Shida watu weusi tunazaa kwa mkumbo, hatuangalii uchumi ukoje, kuna watu wananikera Sana mtu ANAPIGWA mimba huko mjini anaenda kuwajazia wazazi wake watoto huko mkoani, Yani wazazi wako wamekulea umekua, wazazi wamezeeka wanataka kupumzika unaruwadisha nyuma tena kwenye kulea watoto wadogo
 
Ameeleza jambo la msingi sana.

Kwa nchi yetu hii ukipata mtoto hata kama huna hata 100, still atakula, atavaa na atasoma vizuri...tuna ujamaa bado amini ninachokuambia...labda kama hujaishi nchi zingine za kibepari au ht hapo Kenya

Uraweza kuchelewa kupata mtoto ukaja kumpata ukiwa na 35 hlf maisha yakawa yaleyale bila mabadiliko makubwa ukabaki na same wishes...na wengi wanaochelewa kupata watoto wanapitia katika hili kosa
Atakula mihogo daily na dagaa wanaolazimishwa kuitwa dagaa nyama. Atavaa mtumba. Atasoma St Kayumba. Dah kuna watu mmeukubali UMASKINI NA MAMBO YAKE YOTE... Yaani mnaupenda umaskini balaa. Kupata mtoto ukiwa maskini ni laana ya kuendeleza poverty cycle
 
kwahiyo ukizaa hovyo ndo miaka inapungua au serikali inakuwekea hela benki ya kukihudumia hicho kiumbe. Acheni kuendekeza fikra za kijima na za kizinjathropaz. Muelimike na mbadilike.

Kuna wapuuzi huko wanazaa hovyo saivi kumetokea kizazi cha "BASTERDS"/ MITOTO HARAMU hichi ni kizazi kilichozaliwa hovyohvyo kwa uzinzi uzinzi na ndo kizazi kitakuja kuwa cha hovyo kisicho na maadili na hii mitoto ni MIKATILI AJABU,HAINA HOFU WALA HAINA DINI, hii yote
ni kutokana binadamu kuzaa hovyohovyo na kulea watoto bila kuwa na FAMILIA wala kuwa na mpango na sababu mahususi ya kuzaliana.

Mtu anajiuza huko nayeye anawatoto ambao anategemea nao watakuwa wema hakuna kitu kama hicho. Inshort " KILA MTU ATAKULA ALIPOPELEKA MBOGA".

Nyie mnazaa hovyo na bado mitoto yenu inakuja kulia hamna ajira sasa faida yake ni nini??? Mtoto unamlea akiwa mdogo na utamlea tena akiwa mkubwa. Kichekesho ni pale utakapokuwa unamfukuza nyumbani akajitegemee na atakujibu "SIKUKUOMBA UNIZAE" hapo ndo wengi wenu vichwa vitatia akili.

Tulipofikia tukazane kupunguza kwanza huu umaskini wa vizazi na vizazi baada ya hapo ndo tuwaze kuongezeka.
Mkuu watu wengi wamekubali kuwa maskini na wanafurahia. Mimi nilikuwa nagombana sana na dada yangu alipokuwa akitamka kauli "kwa kuwa mimi maskini ndo unanidharau" kila tukikwaruzana. Namshukuru Mungu baadae alipata kazi nzuri akaachana na hizo fikra za kuwa yeye ni maskini.
 
1-Fahamu kwamba ndo unaingia miaka 30. (ni mingi mno)

2-Hakikisha una mtoto
(kuoa sio muhimu ila hakisha una mtoto)

3- Kama umesoma huna ajira anza kusaka ajira rasmi

4-Bana matumizi, punguza matumizi ya social media ,pombe sigara

5-Stop kukumbizana na wanawake .

6-Jifunze kuvaa vizuri ,sio kila siku wewe ni vikaptula/vibukta na jezi.
4-Bana matumizi, punguza matumizi ya social media ,pombe sigara💪🏿
 
Ninao wawili vidume,sina qjira rasmi(nmetafuta mpaka nimeamua tu kuweka pembeni vyeti vyenyewe).

Naona maisha ni magumu hata kama nisingekuwa na watoto yaani hakuna kitu kingebadilika. Kinachoniuma ni aina ya mfumo wa maisha ninaoishi(yaani sikuwahi kutegemea kwamba ningeishi nje ya mfumo wa kuajiriwa kwanye ajira rasmi). Inaumiza kwakweli.
 
4-Bana matumizi, punguza matumizi ya social media ,pombe sigara💪🏿
Hayo mambo yote yanafanywa na watanzania wengi lakini ishu ya mafanikio ni kufanya zaidi ya hayo tupo wakati tunahitaji kuwa na mbinu za mafanikio katika kila jambo now days mafanikio hayawafuati watu wanaojituma bali watu wenye kujua mifumo na mbinu za kufanikiwa
Tuendelee kumuamini Mungu kwa Imani tena Imani thabiti pasipo na shaka tunavuka mstari wa umasikini

Mathayo 6:32
Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote.
Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
 
Hivi unajuwa maana ya kuzaa ni kuleta kiumbe kitakacho endeleza umri wako sasa unamika 30 mtot ana miaka 10 khaa sasa si mnazikana mapema tu na kujitakia upweke, angalau unafika 30 ndo mtot uanze kutafuta unagusa 60 mwanao nae ndo kijana unampokezea kijiti, suala la kuharakia kuzaa ovyo bila kumuandalia kiumbe mazingira ni unyanyasaji
 
Back
Top Bottom