MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mtasema panapoumaAndika ID yako hapa au nifuate PM ili tukamilishe hili Zoezi kwani wana Simba SC tumeshavumilia vya kutosha kufanywa Wapumbavu na Fidodido Mifito Mingoko Mmoja tu.
Imetosha sasa. Nina hasira sana!!!!!
Si MAKOLOKOLO walisema kuwa huyo CEO ni mpini haswa hadi MBUMBUMBU wengine walidiriki kukufuru wako radhi kumkodisha awasimamie ktk familia zao [emoji848][emoji38]Andika ID yako hapa au nifuate PM ili tukamilishe hili Zoezi kwani wana Simba SC tumeshavumilia vya kutosha kufanywa Wapumbavu na Fidodido Mifito Mingoko Mmoja tu.
Imetosha sasa. Nina hasira sana!!!!!