Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
lilikuwa ni suala la mudaInasemekana kwamba, wamiliki wa hotel ya Ngurdoto, wamewapa chuo cha uhasibu Arusha, siku zisizozidi 90 kuwa wamewahamisha wanafunzi wote walihamishiwa hapo Ngurdoto kutokea Njiro Compus. Tetesi zinasema kuwa sababu kubwa ni uharibifu uliokwishatokea toka wanafunzi hao wahamie hapo Ngurdoto hadi sasa... STAY TUNED
Wanafunzi wa kitanzania inabidi wawe wanakaa kwenye makontena maana hawana ustaarabu
Forget not Ngendembwe.[emoji81][emoji81], dah!
Kuta zishachorwa kila kona.
Forget not Ngendembwe.
Akumbukwe MC Kombolela nk
Ha ha ha kuna siku tulienda debate KIRAENI GIRLS nikakuta hiyo kitu tukiwa promary. Nilishangaa nikasema nini hiki mbona kama kaburii[emoji23][emoji23]Haswa! Hilo jina lako limenikumbusha enzi za shule, kulikuwa na kitabia cha kuzungushia vitanda unakuwa ndani kwa ndani kuzuia mwanga wa taa mtu akilala [emoji23][emoji81], tuliita mzingo.
Ha ha ha kuna siku tulienda debate KIRAENI GIRLS nikakuta hiyo kitu tukiwa promary. Nilishangaa nikasema nini hiki mbona kama kaburii[emoji23][emoji23]
Yaan mm hata uniue sitaki[emoji23][emoji23] inatishaa[emoji23][emoji23], shuka zinapigwa Pande zote, si wajua bwenini muda wote taa zawaka labda umeme ukatike. Sasa ule mwanga wengine kero.
Yaan mm hata uniue sitaki[emoji23][emoji23] inatishaa
Sio wanafunzi wa kitanzania Bali ni waafrica Kwa ujumla wakeWanafunzi wa kitanzania inabidi wawe wanakaa kwenye makontena maana hawana ustaarabu
Waache kuwaonea wanafunzi. Nchi ikifika uchumi wa kati wanachuo ndiyo wanatakiwa kukaa hostel ya 5 star kama Ngurdoto.Inasemekana kwamba, wamiliki wa hotel ya Ngurdoto, wamewapa chuo cha uhasibu Arusha, siku zisizozidi 90 kuwa wamewahamisha wanafunzi wote walihamishiwa hapo Ngurdoto kutokea Njiro Compus. Tetesi zinasema kuwa sababu kubwa ni uharibifu uliokwishatokea toka wanafunzi hao wahamie hapo Ngurdoto hadi sasa... STAY TUNED