Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Wakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.
Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.
Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.
Kutiki October bila Reforms ni upuuzi