GE2025 Wale wanaojinasibu kuwa "OktobaTunatiki" kuna ujumbe wao hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..
Ni mtanzania kama ww,tofauti ya ww na yy ni Moja tu,yy anajitambua na ww hujitambui.
 
Wakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.

Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.

Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.

Kutiki October bila Reforms ni upuuzi

View attachment 3399724
Naomba viongozi wangu wa dini yangu,kwa dhati kabisa tulisheni neno la mungu kutoka ndani ya biblios takatifu,haya ya kilimwengu yatapita tu,haya ya kaisari hayadumu yanakwenda zake,bali neno halipiti,hali expai,ni la milele!.
-Mkianza kutulisha ya kidunia tutapotea-
JITOKEZE MAPEMA,NENDA UKATIKI,
images.png
 
Ukiwa;
Mcha Mungu
Una hofu ya Mungu
Unachukia udhalimu na ufisadi
Utailinda kura yako na hutakubali "kuitapanya'
 
Naomba viongozi wangu wa dini yangu,kwa dhati kabisa tulisheni neno la mungu kutoka ndani ya biblios takatifu,haya ya kilimwengu yatapita tu,haya ya kaisari hayadumu yanakwenda zake,bali neno halipiti,hali expai,ni la milele!.
-Mkianza kutulisha ya kidunia tutapotea-
JITOKEZE MAPEMA,NENDA UKATIKI,View attachment 3399952
Tutasomana tu mkuu
 
Wakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.

Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.

Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.

Kutiki October bila Reforms ni upuuzi

View attachment 3399724
kwa watu wakushabikia lakini siyo maskofu wa kikatoliki.kwanza amani ya nchi ikivurugika hawana cha kupoteza

1.hawana wattoto maana wao haoi
2.hawana wake maana hawaoi
3.hawana wajukuu maana hawana watoto
4.hawana wakwe maana hawaoi
5.hawana wajomba maana hawaoi
6.hawana kayemba maana hawana watoto
mwanaume ambaye hana mke siyo mzuri sana maana hajui maana ya mapenzi

sijajua kwanini mnawasikiliza hawa. anakufundisha mapenzi wakati yeye hajawai jifunza kupenda .hahahahaha
 
Hivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..
HUYU HANSA TOFAUTI NA MCHAWI WENGI HUJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA DINI
 
Hivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..
Huyu ni miongoni mwa maaskofu wa kweli. Aliyeamua kumtumikia Mungu, maana Mungu wetu ni Mungu wa kweli, na tena anasema, "kila aliye wa ukweli huisikia sauti Yangu".

Ibilisi ni mfalme wa uwongo na hadaa. CCM imejaa uwongo, hadaa na udhulumaji haki. Mwananchi mwema jitenge na ibilisi CCM.
 
Wakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.

Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.

Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.

Kutiki October bila Reforms ni upuuzi

View attachment 3399724
oktoba nitatiki
 
Back
Top Bottom