Ile kusogea tu na kuandika ile karatasi ushaliwa tayari. Tubaki na kura zetuWakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.
Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.
Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.
Kutiki October bila Reforms ni upuuzi
View attachment 3399724
Hivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..Wakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.
Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.
Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.
Kutiki October bila Reforms ni upuuzi
View attachment 3399724
Mwambie huyu askofu akitoa maoni ya kisiasa anatuchanganya...tunashindwa kutofautisha kama ni maoni yake au ni ufunuo..aache tu uaskofu aje siasani..Kutiki October bila Reforms ni upuuzi
Ishu ni Reforms tuHivi hiyo democrasia munayo isemea nyinyi ni ipi? ikiwa nyinyi kila ambae yuko tofauti na fikra zenu ni kilaza mnafiki, mbumbumbu, mukishapewa nchi mutakubali kutukanwa na wapinzani wenu kama ambavyo nyinyi munafanya?
Uislam haufundishi Chuki Mkuu.Mwambie huyu askofu akitoa maoni ya kisiasa anatuchanganya...tunashindwa kutofautisha kama ni maoni yake au ni ufunuo..aache tu uaskofu aje siasani..
Sawa usiojitambua mwenzangu endelea kuota siku unakuja kushtuka wenzako wapo mbali we unaendelea kuimba mapambio No Reform No Election et ndio utawashawishi waTZ wakupen nchi 😂Ishu ni Reforms tu
Na chama kinachoongoza Dora kina mtaji wa Wanachama Milion 13. Mbona unakuwa hujitambui?
Wanachama Milion 13 hapo tayari una asilimia 60 mpaka 70 ya wapiga kura kwanini usikubali kufanya Reforms?
Yaani ni kipi kilicho kufanya u"conclude" hivyo...?kwani humu tunaulizana dini zetu? Jikite kwenye hoja achana na mambo ya dini..Uislam haufundishi Chuki Mkuu.
Unaidharirisha imani yetu tukufu.
Kwanini una chuki?
Siasa ni maisha
Mbona kitu simple tu kuelewa hapo kidato cha nne ulizungusha?Hivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..
Jaribu kujibu kwa hoja jamaa kakupa statistics za wanachama uwingi wao unaweza kudrive 60% mpka 70% ya wapiga kura iweje kuwe na wasiwas wa reforms ili. Kura ya kila mmoja iwe na thamani halisiSawa usiojitambua mwenzangu endelea kuota siku unakuja kushtuka wenzako wapo mbali we unaendelea kuimba mapambio No Reform No Election et ndio utawashawishi waTZ wakupen nchi 😂
Mwenyewe umeleta hii habari kwa ushabiki mkuu.. SISI NI NO REFORM NO ELECTION BASI. WATAJIONGOZA WENYEWEWakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.
Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.
Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.
Kutiki October bila Reforms ni upuuzi
View attachment 3399724
totally dini ni siasa wewe, unaishi dunia ya wapi, akhera?Hivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..