Soma na hapa Thread 'Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM' LGE2024 - Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCMYaani ni kipi kilicho kufanya u"conclude" hivyo...?kwani humu tunaulizana dini zetu? Jikite kwenye hoja achana na mambo ya dini..
Ishu sio kupewa nchi, ishu ni kwamba CCM ina wanachama Milion 13 kwanini wasikubali kufanya Reforms?Sawa usiojitambua mwenzangu endelea kuota siku unakuja kushtuka wenzako wapo mbali we unaendelea kuimba mapambio No Reform No Election et ndio utawashawishi waTZ wakupen nchi 😂
Oktoba tunatikiWakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.
Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.
Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.
Kutiki October bila Reforms ni upuuzi
View attachment 3399724
Huyu ni mtanzania anayejitambua!Hivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..
Baba askofu sisi hatutapiga kura. CCM watapiga wenyewe na police waoWakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.
Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.
Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.
Kutiki October bila Reforms ni upuuzi
View attachment 3399724
Kama ipo si waichukuwe tu bila kututaka tukapange foleni na kupoteza wakati ya bure?Kura yako iko kwenye Daftari la Wapiga Kura 😂
Mi nadhani hata Samia mwenyewe hili linamshangaza sana, maanake haiingii akilini kabisa.Jaribu kujibu kwa hoja jamaa kakupa statistics za wanachama uwingi wao unaweza kudrive 60% mpka 70% ya wapiga kura iweje kuwe na wasiwas wa reforms ili. Kura ya kila mmoja iwe na thamani halisi
HakikaAibu ya CCM na Serikali yake.
Sasa mbona mnataka tukapige kura? Nyie tikini wenyeweKura yako iko kwenye Daftari la Wapiga Kura 😂
Mkuu, uchawa unapumbaza akili. Hebu mkumbushe yale matamshi alotoa yule shehe wakati wa uzinduzi wa hema la kinachoitwa kanisa la Arise and Shine pamoja na wito alotoa ‘mtume’ Mwamposa kwa wafuasi wake wa kwenda kupiga kura ili waichague ccm. Hayo hayakumfanya akashindwa kutoa maoni!totally dini ni siasa wewe, unaishi dunia ya wapi, akhera?
No reform no electionAibu ya CCM na Serikali yake.
Siasa ni watu na watu ni siasaHivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..
utajua hujui ikiwa too lateHivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..
Mnatakiwe mkasaini tu Kura zinapigwa kielektroniki ya Kimshana junia 😂Sasa mbona mnataka tukabige kura? Nyie tikini wenyewe
mnatiki nini?Oktoba tunatiki
Anaongelea wizi wa kura,Mwambie huyu askofu akitoa maoni ya kisiasa anatuchanganya...tunashindwa kutofautisha kama ni maoni yake au ni ufunuo..aache tu uaskofu aje siasani..
Hahaha, kama unaamini katika mafunuo basi nenda kamsemelee kwa Mungu umwambie mtumishi wako anatuchanganya huku duniani ili akupe mafunuo ya namna ya kumweleza huyo askofu.Mwambie huyu askofu akitoa maoni ya kisiasa anatuchanganya...tunashindwa kutofautisha kama ni maoni yake au ni ufunuo..aache tu uaskofu aje siasani..