Ni mtanzania kama ww,tofauti ya ww na yy ni Moja tu,yy anajitambua na ww hujitambui.Hivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..
Naomba viongozi wangu wa dini yangu,kwa dhati kabisa tulisheni neno la mungu kutoka ndani ya biblios takatifu,haya ya kilimwengu yatapita tu,haya ya kaisari hayadumu yanakwenda zake,bali neno halipiti,hali expai,ni la milele!.Wakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.
Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.
Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.
Kutiki October bila Reforms ni upuuzi
View attachment 3399724
Tutasomana tu mkuuNaomba viongozi wangu wa dini yangu,kwa dhati kabisa tulisheni neno la mungu kutoka ndani ya biblios takatifu,haya ya kilimwengu yatapita tu,haya ya kaisari hayadumu yanakwenda zake,bali neno halipiti,hali expai,ni la milele!.
-Mkianza kutulisha ya kidunia tutapotea-
JITOKEZE MAPEMA,NENDA UKATIKI,View attachment 3399952
kwa watu wakushabikia lakini siyo maskofu wa kikatoliki.kwanza amani ya nchi ikivurugika hawana cha kupotezaWakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.
Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili lipo wazi toka mwaka 2019 mpaka 2024 haina haja ya kupoteza muda bora tuendelee hivi hivi tu.
Maana hata kama Kutakuwa na uchaguzi bila Reforms bado kura feki na wapiga kura hewa watakuwepo tu. Kama ishu ni madaraka waendelee tu na sisi tuendelee.
Kutiki October bila Reforms ni upuuzi
View attachment 3399724
HUYU HANSA TOFAUTI NA MCHAWI WENGI HUJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA DINIHivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..
Huyu ni miongoni mwa maaskofu wa kweli. Aliyeamua kumtumikia Mungu, maana Mungu wetu ni Mungu wa kweli, na tena anasema, "kila aliye wa ukweli huisikia sauti Yangu".Hivi huyu ni ASKOFU au mwanasiasa?anatuchanganya kondoo wake..tunashindwa kutoa mawazo yetu..avue joho aje kwenye SIASA ..aache kujificha kwenye kichaka cha dini..
oktoba nitatikiWakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama.