Huenda kuna juhudi za kubabaisha watu bila fikra zenye uelewa. Anayetaka kuelewa Dunia iko vipi soma maoni haya ya kisomi na yenye uhalisia.View attachment 3648460
Gentleman,Huenda kuna juhudi za kubabaisha watu bila fikra zenye uelewa. Anayetaka kuelewa Dunia iko vipi soma maoni haya ya kisomi na yenye uhalisia.
Unaleta porojo kwenye Jambo muhimu,wajukuu watarithi nini jamani kwako!Gentleman,
maridhiano miongoni mwa waTanzania wote yatafanyika kwa wakati muafaka bila kujali porojo, ramli au mbambamba zozote zile za maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania 🐒
*****Gentleman,
maridhiano miongoni mwa waTanzania wote yatafanyika kwa wakati muafaka bila kujali porojo, ramli au mbambamba zozote zile za maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania 🐒
ni muhimu sana warithi taifa ambalo limeridhiana kuendeleza umoja, amani na usalama miongoni mwa waTanzania wote 🐒Unaleta porojo kwenye Jambo muhimu,wajukuu watarithi nini jamani kwako!
Sawani muhimu sana warithi taifa ambalo limeridhiana kuendeleza umoja, amani na usalama miongoni mwa waTanzania wote 🐒
ok.Sawa

AiseeInaanza jinai kwanza kwa wauaji ndio mengine yafuate sheria zipo wazi, ujanja na Sanaa hazitawafikisha kokote, watanzania sio wajinga tena Kama mnavyodhani
Boss, nahisi tatizo ni lugha inakupa taabu. Umesoma lakini hukuelwa, ukatosha na hitimisho bovu.Gentleman,
maridhiano miongoni mwa waTanzania wote yatafanyika kwa wakati muafaka bila kujali porojo, ramli au mbambamba zozote zile za maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania 🐒
zingatia maelezo yangu mahususi kwenye komenti yangu ya msingi na itapendeza na kukusaidia sana gentleman 🐒Boss, nahisi tatizo ni lugha inakupa taabu. Umesoma lakini hukuelwa, ukatosha na hitimisho bovu.
Haya unayosimulia yamejieleza vizuri kwenye andiko, sijui kwa nini huelewi chochote Au mambo ya elimu ya hapa na pale, baadaye ikulu?
Ukishaanza kuimba mambo ya ... maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania...zingatia maelezo yangu mahususi kwenye komenti yangu ya msingi na itapendeza na kukusaidia sana gentleman 🐒
ok.🐒Ukishaanza kuimba mambo ya ... maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania...
Najua wewe ni mtu wa aina gani.
m'gonge IGNORE unamwacha wa niniBoss, nahisi tatizo ni lugha inakupa taabu. Umesoma lakini hukuelwa, ukatosha na hitimisho bovu.
Haya unayosimulia yamejieleza vizuri kwenye andiko, sijui kwa nini huelewi chochote Au mambo ya elimu ya hapa na pale, baadaye ikulu?
We bado ni mjinga,Inaanza jinai kwanza kwa wauaji ndio mengine yafuate sheria zipo wazi, ujanja na Sanaa hazitawafikisha kokote, watanzania sio wajinga tena Kama mnavyodhani
Alizoandika ni porojo zake km za wengine hakuna cha maono hapo. Samia anapoteza muda wake bure nchi yetu haìhitaji maridhiano, tar 29 kilichofanyika ni uhalifu uliohusisha ghasia, vurugu, wizi, uharibifu na uchomaji wa mali binafsi na za umma. Waliopanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza watafutwe washughulikiwe. Ni aibu wahalifu kujigeuza kuwa wenye haki na kuipangia serikali cha kufanya kwa kuwa wana mabwana zao kule nje. Itakuwa serikali dhaifu sana duniani. Tunataka kuona hao wahalifu wakikamatwa. Hata hivyo mwanamke ni mwanamke angekuwepo mwanaume km MAGU hapo Ikulu hao kima wasingetamba km sahvi, wanawake waelewe siyo kila kitu ni asilimia 50Huenda kuna juhudi za kubabaisha watu bila fikra zenye uelewa. Anayetaka kuelewa Dunia iko vipi soma maoni haya ya kisomi na yenye uhalisia.