Wale Wanaoshabikia MARIDHIANO Someni maono ya kisomi, Siyo Siasa mbovu

Wale Wanaoshabikia MARIDHIANO Someni maono ya kisomi, Siyo Siasa mbovu

Hapo kwenye kujishtaki Mwenyewe, Ngumu balaa, kuwà na mchunguzi huru wa nje,na mpatanishi huru wa nje,na wazee wa dini(Mashehe,Maaskofu),Sio shehe Mwaipopo!
Mwaipopo miyeyusho sana yule kobazi😅
 
Mwandishi kafanya analysis nzuri sana

JokaKuu

..Mama hakutarajia kwamba mambo yatakuja kumlipukia kwa kiwango cha OCT 29.

..Yeye alidhani yatapigwa mabomu ya machozi ya hapa na pale, maji ya washawasha, virungu,...

..sasa kile walichotarajia hakikutokea, na katika ku-panic ndiyo wamejikuta wamefanya MAUAJI YA KIHISTORIA.

..Kwa kifupi Mama anashindwa kuwaadhibu waliohusika na mauaji kwasababu watamrudia na kumwambia, " sisi tulifanya kukulinda wewe, ulitutuma..."

..Wauwaji pia wanamwambia, " waandamanaji walikuwa wakilalamikia maamuzi yako, halafu sisi tukabeba mzigo wa kuyazima..."

..Kwa hali ilivyo sasa hivi, Mama hawezi kuitisha uchunguzi dhidi ya wauwaji, ndio maana anajaribu kuwaangushia jumba bovu walioandamana na kuharibu mali.
 
Gentleman,
maridhiano miongoni mwa waTanzania wote yatafanyika kwa wakati muafaka bila kujali porojo, ramli au mbambamba zozote zile za maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania 🐒
Maridhiano yenye tija endelevu hayawezi kulazimishwa na wauaji waliowaua ndugu wa wanaotaka kuridhiana nao.

Shtuka sana mtu akikidhulumu alafu bado analazimisha mridhiane!

What you are planning is only good for pictures not the future!
 
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote, ni msingi muhimu sana kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya ya waTanzania.

sio lazima wewe au mimi tuwepo, waTanzania wengine wanaweza kutuwakilisha na ikapendeza tu 🐒
 
Boss, nahisi tatizo ni lugha inakupa taabu. Umesoma lakini hukuelwa, ukatosha na hitimisho bovu.
Haya unayosimulia yamejieleza vizuri kwenye andiko, sijui kwa nini huelewi chochote Au mambo ya elimu ya hapa na pale, baadaye ikulu?
Hahaha sijui kama amelewa Mr Gentleman
 
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote, ni msingi muhimu sana kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya ya waTanzania.

sio lazima wewe au mimi tuwepo, waTanzania wengine wanaweza kutuwakilisha na ikapendeza tu 🐒
Maridhiano hayawezi kuimbwa na kuongozwa na wale waliowadhulumu wengine!
Pagumu hapo!
 
Maridhiano hayawezi kuimbwa na kuongozwa na wale waliowadhulumu wengine!
Pagumu hapo!
take it from me,
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote yanakwenda kufanyika bili kuja hisia potofu kama hizo gentleman.🐒
 
Salute sana kwa muandishi wa hii taarifa (African Affairs)

Hakuna maridhiano mpaka pale wote waliohusika kwenye mauaji ya raia watakapowajibishwa kisheria kila mmoja kwa nafasi yake na namna alivyoshiriki.
 
Alizoandika ni porojo zake km za wengine hakuna cha maono hapo. Samia anapoteza muda wake bure nchi yetu haìhitaji maridhiano, tar 29 kilichofanyika ni uhalifu uliohusisha ghasia, vurugu, wizi, uharibifu na uchomaji wa mali binafsi na za umma. Waliopanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza watafutwe washughulikiwe. Ni aibu wahalifu kujigeuza kuwa wenye haki na kuipangia serikali cha kufanya kwa kuwa wana mabwana zao kule nje. Itakuwa serikali dhaifu sana duniani. Tunataka kuona hao wahalifu wakikamatwa. Hata hivyo mwanamke ni mwanamke angekuwepo mwanaume km MAGU hapo Ikulu hao kima wasingetamba km sahvi, wanawake waelewe siyo kila kitu ni asilimia 50
Wewe ni join date May 14 2026. Bado hujakomaa kujadili mambo ya kijamii.

Unawaza kuchomwa mali za watu wakati jamii inawaza mauaji yaliyofanywa na serikali.
 
..Mama hakutarajia kwamba mambo yatakuja kumlipukia kwa kiwango cha OCT 29.

..Yeye alidhani yatapigwa mabomu ya machozi ya hapa na pale, maji ya washawasha, virungu,...

..sasa kile walichotarajia hakikutokea, na katika ku-panic ndiyo wamejikuta wamefanya MAUAJI YA KIHISTORIA.

..Kwa kifupi Mama anashindwa kuwaadhibu waliohusika na mauaji kwasababu watamrudia na kumwambia, " sisi tulifanya kukulinda wewe, ulitutuma..."

..Wauwaji pia wanamwambia, " waandamanaji walikuwa wakilalamikia maamuzi yako, halafu sisi tukabeba mzigo wa kuyazima..."

..Kwa hali ilivyo sasa hivi, Mama hawezi kuitisha uchunguzi dhidi ya wauwaji, ndio maana anajaribu kuwaangushia jumba bovu walioandamana na kuharibu mali.
Kwa maelezo haya unachoweza kusema ni kwamba tuna rais mwenye uwezo mdogo kabisa Afrika Mashariki.

Jambo baya kabisa yuko kwenye kundi la madikteta waliowahi tawala nchi ya Afrika. Kwa Afrika Mashariki, tangu tupate UHuru, huyu ni dikteta wa pili kujitokeza baada ya Idd Amin
 
..Kwa hali ilivyo sasa hivi, Mama hawezi kuitisha uchunguzi dhidi ya wauwaji, ndio maana anajaribu kuwaangushia jumba bovu walioandamana na kuharibu mali.
Well, hapa ni against the wall! kuna maswali yanazuka. Mfano, ikiwa hiyo Tume itawashtaki watu kwa kauli zao, kuna kauli zimetolewa na viongozi wa juu wa CCM na Serikali. Je hiyo Tume itaweza kuwashtaki?
Tume ya Chande ripoti yake ipo wapi?Tatu, kuna maridhiano yapi kukiwa na manung'uniko katika jamii.
 
Back
Top Bottom