Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

Sio kweli Ally's zile nyeupe hamna kazi pale ...ila zile zaa orange kazi ipo ata ile ya VVIP ni moto sanaa lkn yale meupe yale toa kabisaaa
 
Sio kweli Ally's zile nyeupe hamna kazi pale ...ila zile zaa orange kazi ipo ata ile ya VVIP ni moto sanaa lkn yale meupe yale toa kabisaaa
Zinaenda na muda zile nyeupe zinafika kwa wakati ila wao kama kampuni wameamua gari fulan za kukaa mbele tu, lengo la kampuni gari yao iwe mbele daima ndomana zinatangulizwa

EBF zile VVIP, zile DXS na zile DVA mda mwingine.

Ukiangalia mkeka gari zao zote zilitoka siku hiyo mara nyingi yanafatana
 
Mara ya mwisho naenda Kanda ha ziwa iyo nyeupe tuliipita Moro baada ya mizani ya dakawa, kufika Singida tukaitangiliza tena ilipofika igunda tuliipita misili ya mshale , DX ikawa mbele then DV ikafuata tulipofika Nzega tukaingia standa ila EB F ya VIP ika nyooka ..kufika Timde pale chuma.zote tatu 🌻🍊 zilikuwa line moja kufikia ishina Bulandi EBF akatangulizwa awahi then DV na DX zikaanza ligi sasa aisee ilikuwa moto siku ile
 
Jbst na juzi kati hapo nikiwa natoka ka.da ya ziwa DVA ilibonda noda boda mmoja.pale round about ...jamaa walituweka sanaa almost 1 hour
 
Nina swali kwa wanazi wale walioajiriwa kwenye hizi Bus ,mfano,wakata tickets nk,mishahara huwa kiasi gani ?
 
Geita - DSM - Geita

Mallessa
Mallessa
Mallessa
Mallessa

Boss katuheshimisha sana Geita,
Tulikuwa tuanapata taabu sana, hadi twende Mwanza[emoji2],

Siku hizi tunaanzia hapahapa Geita,

Mnazi kama Mnazi [emoji123]
 
Sauli dar Tunduma ndio bus Bora ya nyakati zote kuwahi kukanyaga kwenye ardhi ya Tz
 
Weee Shabiby ipi hiyoo?labda ABC
Ila Shabiby zinakimbia
Mimi huwa napanda shabiby za saa nne VIP royal Dsm - Dodoma mwendo wa kinyonga mara nyingi nafika dom saa mbili usiku area D pale masaa 10 njiani seriously?!
Sasa ikitokea kuna misafara ya viongozi ni balaa zaidi ila wako njema ile comfortability yake ni high class, ila BM & ABC ni watu wa mbio.
 
Dar - Songea
New Force
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
O

Ohooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…